Tongue Rings, Hot or Not

Tongue Rings, Hot or Not

...hehehe, unanchekesha wewe, basi ukiniona mie si utanikimbia...lol
Cos ninayo kadhaa.
Kwanini Nikimbie?, Si Nafanya Kama Hao Naopishana Nao Tu.
Let Me Ask You, Kuna Raha Gani Kujitoboatoboa Mwili Wako?
 
images
View attachment 387139
How about these?
Hapana kwa kweli, maskio tu inatosha
 
Kha!, ebu acheni utoto bana. Sa ukitaka kupangilia hereni na vipusa mnafanyaje?

Kwani kutoboa si kama vile una staple paper tu, maumivu kidogo halafu basi. Mkienda labor sasa si itakuwa patashika na nguo kuchanika?
Tena kujitoboa ndo mazoezi mazuri ya labor, before it gets here.
Weee karatasi hazina damu hivyo zinatobolewa tu!
We mie leba tayari, labda huyo HS.
Umenikumbusha rafiki yangu uzazi wa kwanza uchungu ulivyomkolea akameza diclopa lakini wapiii, aisee nilicheka hiyo siku kama mazuri.
 
...hahaaa haaa!, mpaka ukatoa chozi manake na hutaki kusalimia wakaka..😀

My dear muda ukifika wala hutawaogopa, na safari ya kwenda labor ikifika mwenyewe utapakimbilia, hii ya kutoboa pua, sikio, sijui ulimi utaona kama kufinywa tu...lol
Halafu imagine hizi safari za labor kuna wengine unajua bado wanachagua kwenda kavukavu bila epidural, eti to just get the experience ya uchungu wenyewe original. 🙁
Mi naonaga bora kama hivi C-section kwa kweli, kuliko kwenda dry.

The little munchkin is lucky to have a godmother who shed tears for the mom, just before they arrived in this world. 🙂
C-section!!!!! Hapana aisee!
 
C-section!!!!! Hapana aisee!
Kikwetu kwetu watu wengi C- section tunaiogopa, but ni safe sema tu tunaogopa vidonda, at first nilikuwa sielewi mtu akiomba c-section pia, now naelewa, (sijiombei c-section kabisaa). Aunt naye alikataa c-section siku hiyo, anamuonea huruma mwanae, but kadri muda ulivyokuwa unaenda, risk ya kumpoteza mtoto ilikuwa kubwa zaidi. Maana ilifika stage nurses wakawa wanasema hawasikiii mapigo ya moyo ya mtoto kabisa, but cousin akawa anasema yeye anamsikia vizuri (mtoto aligoma kabisa kushuka, while njia ilifunguka vizuri tu). Kama wewe ni wa kushindia sausage na yai, huna uhakika na ku-push mmmh don't put your baby at risk, ila ukiwa fit kama wasukuma, push tu, na kukiwa na access nzuri ya epidural sawa. Btw I hope me ntaenda kujifungulia kwa aunt kui, napiga epidural[emoji85] [emoji85]
 
...hahaaa haaa!, mpaka ukatoa chozi manake na hutaki kusalimia wakaka..😀

My dear muda ukifika wala hutawaogopa, na safari ya kwenda labor ikifika mwenyewe utapakimbilia, hii ya kutoboa pua, sikio, sijui ulimi utaona kama kufinywa tu...lol
Halafu imagine hizi safari za labor kuna wengine unajua bado wanachagua kwenda kavukavu bila epidural, eti to just get the experience ya uchungu wenyewe original. 🙁
Mi naonaga bora kama hivi C-section kwa kweli, kuliko kwenda dry.

The little munchkin is lucky to have a godmother who shed tears for the mom, just before they arrived in this world. 🙂
Hi hi I'm the lucky one here lol, she made me a momma you know. Nilikuwa nalia + praying hata sielewi nilikuwa natamka maneno gani. Mmh God is always God
 
My dear, I met a lady with chains around her neck, only to tell me are long ones that go around her clic. and nipples and the main idea was to produce orgasm while she walks. I was, Bly me!!!
Looh. Duniani kuna mambo wallah.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
He he he labor Mungu atanitendea huko Huko

Teh last year my Lil cousin gave birth. Alikuwa poa and everything ila kukatokea complication kidogo mwishoni. It was my first time kukaa maeneo ya labor yale (siendi tena kule, ntawaogopa wakaka Teh)

Basi bana, ikafika muda hadi cousin mwenyewe akasema amechoka na kulia juu maskini (she was very strong), ikabidi tu c- section. Before, Wenzangu walikuwa hata wanamchungulia, mimi niligoma kabisa, kama kawaida nilimwaga machozi aisee khaa, wakashtuana tu "mama mfilipino kaanza", so wakatafuta excuse ya kunitoa, I left. Akajifungua, basi story ya kwanza kupewa ni jinsi nilivyolia. Ile nimefika tu kaniambiaje "kilichokuwa kinakuliza, si wewe na D (mdogo ake) mnajifanyaga hamnipendi kumbe mnanipenda" hahaha. Luckily, I'm her munchkin God mother uuuh. Ile week nzima sikuwasalimia wakaka, nisijejikuta labor na mimi (kidding lol)
OMG. Hii habari yako imenishtua. Nilivyo muoga afu sijawahi shuhudia mtu akijifungua hapa nina tumbo at any time t najifungua. Kumbe nina shughuli pevu inanisubiri. Najuta kukimbilia wanaume (kidding)
 
Haha Jamani usiogope hata, Mungu ni mkuu atakupigania utajifungua tu salama. Ni ka moment ka-maumivu kidogo, ila by the time you are holding your cute Lil baby, aisee maumivu yote unayasahau (I felt the same way too, japo sikuzaa mie lol) + baba mtoto ndo utampenda maradufu (utamchukia next time ukiwa na uchungu mwingine lol)
 
Amen mama.
 
Weee karatasi hazina damu hivyo zinatobolewa tu!
We mie leba tayari, labda huyo HS.
Umenikumbusha rafiki yangu uzazi wa kwanza uchungu ulivyomkolea akameza diclopa lakini wapiii, aisee nilicheka hiyo siku kama mazuri.

Teh!, mmbaya weye...lol

C-section!!!!! Hapana aisee!

Hii ndo safe lakini, halafu siku hizi watu wasivyopenda kumaliza miezi yote ya kubeba mimba unakuta wana schedule kabisa C-section mapema kumalizana na hiyo Shughuli.
Labda sema kazi kutunza kidonda lakini ni umakini tu.
 
Hi hi I'm the lucky one here lol, she made me a momma you know. Nilikuwa nalia + praying hata sielewi nilikuwa natamka maneno gani. Mmh God is always God

Uongo mbaya shughuli si ndogo, lakini yote yawezekana chini ya jua.
Wewe usiwe na wasiwasi, aunt kui will be ready with everything, epidural, diapers za ka little angel, maji ya moto...lol
 
Uongo mbaya shughuli si ndogo, lakini yote yawezekana chini ya jua.
Wewe usiwe na wasiwasi, aunt kui will be ready with everything, epidural, diapers za ka little angel, maji ya moto...lol
Huhuhu lucky me. ....
 
Mhhhh! Funguka banaaa! Mdomoni hicho kidubwasha kitawezaje kuwa cha baridi Kui? Au you're talking about kule kunako? Nauliza tu.

...It's super when it's cold...
Lakini hata kwenye shavu ni nzuri...🙂
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kwanini Nikimbie?, Si Nafanya Kama Hao Naopishana Nao Tu.
Let Me Ask You, Kuna Raha Gani Kujitoboatoboa Mwili Wako?

Wakati mwingine inatokea spontaneously na sio kwa kupanga. Kwa mfano wangu imetokea over the years, one piercing at a time, it wasn't all of them at one time, so it wasn't too bad.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! Funguka banaaa! Mdomoni hicho kidubwasha kitawezaje kuwa cha baridi Kui? Au you're talking about kule kunako? Nauliza tu.

BAK ukinywa maji baridi au uki chew ice si kinakuwa cha baridi?, au...[emoji85]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haha Jamani usiogope hata, Mungu ni mkuu atakupigania utajifungua tu salama. Ni ka moment ka-maumivu kidogo, ila by the time you are holding your cute Lil baby, aisee maumivu yote unayasahau (I felt the same way too, japo sikuzaa mie lol) + baba mtoto ndo utampenda maradufu (utamchukia next time ukiwa na uchungu mwingine lol)
Una kesi ya kujibu. Kumbe uliniwekea bikira ya kichina??
 
Back
Top Bottom