Toni Braxton - Spanish Guitar, nyimbo za wasanii wa RnB za Kibongo tunapigwa

Toni Braxton - Spanish Guitar, nyimbo za wasanii wa RnB za Kibongo tunapigwa

He wasn't man enough for me ilikuwa Kali kipindi kilekile, Ila Breath again na hii Spanish guitar Kali hadi leo
Hii nyimbo inanikonga moyo toka mtoto sijuo hata anaimba nini hadi mzee sasa.
Huyo mwanamama nnamwelewa sana.
Kuna na ile he wasn't a man enough for me
 
Mmekumbuka zamani tu malegend saa hivi vijana wanakiwasha sio poa kama huyu platnumz tuendelee kujivunia sana waTanzania
 
Nawasalimu wanajukwaa wa Jf, kwa wale waliosonga kiumri nawapa shikamoo, kwa wengine ambao sijui rika zenu salamu zangu ziwafikie.

Leo wakati nimetulia nilipata bahati ya kusikiliza oldies, kwa bahati nilikutana na kibao cha Toni Braxton kinachofahamika kwa jina la "Spanish Guitar". Kiukweli vijana wa kisasa tunapata makombo ya muziki kutoka kwa wasanii wengi (almost 95% ya muziki wa sasa hauna hadhi ya kuitwa mziki).

Kwanza nilipenda uimbaji uliotulia, melody nzuri ya kutulia, kupanda na kushuka kwa sauti, mdundo (Piano, snares, Guitar, kick na vingine). Kiukweli njia pekee ya kufaidi vitu vya kale ni kupitia mziki uliotunzwa kwani utamu unabaki vilevile bila kuchujwa, inawezekana ukisimuliwa hadithi ya kale ikaongezewa makolombwenzo ambayo hayakuwepo ila muziki unabaki pale pale.

RnB, Soul, Country, Jazz, Rock na Pop za kale ziko vizuri. Wazee wetu mlipata ladha nzuri ya muziki.

Lyrics [emoji447][emoji450]
A smokey room, a small café
They come to hear you play
And drink and dance the night away
I sit out in the crowd and close my eyes
Dream you're mine
But you don't know
You don't even know that I am there
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
'Til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
All night long
(All night long) all night long
I'd be your song
I'd be your song
Steal my heart with every note you play
I pray you'll look my way
And hold me to your heart someday, yeah
I long to be the one that
You caress with a tenderness
And you don't know
You don't even know that I exist
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
('Til the dawn) 'til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
(All night long) all night long
(All night long) all night long
(I'd be your song) I'd be your song
Te sientes inteligente
Cierras tus ojos
Y suenes que soy tuyo
Pero yo no se
Ni si quiera que estas aqui
Me gustaria tenerte en mis brazos amor
I sit out in the crowd and close my eyes
Dream you're mine
And you don't know
You don't even know that I exist, oh
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
('Til the dawn) 'til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
Wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar (Spanish guitar)
(All night long) all night long
(All night long) all night long
(I'd be your song) I'd be your song
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah
I'll be your song, your song, your song
Play me all night long
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah (you could play me like that Spanish guitar)
I'll be your song, your song, your song
I wanna be your song
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah
I'll be your song, your song, your song
Hold me baby all night long
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah.

Breath again ni kazi nyingine ya Toni ambayo itachukua karne nyingi kuchuja
 
Nyimbo za hivyo zipo, waimbaji wa hivyo wapo,aina ya mziki huo upo,but haupo kwenye mainstream..kuna radio ya Sweden inaitwa stringstay nasikiliza ngoma kila siku
 
Like the same,Mary J Blige Queen of hiphop soul.kuna Whitney Houstone nyimbo I have nothing ni noma sana.

hao washapiga hela sasa wametulia wanakula mshiko tu.
Na brandy namwelewa sana.
Wakati tunaelekea ukingoni mwa generation, nilikuwa namwelewa Ashanti pia.
 
Nawasalimu wanajukwaa wa Jf, kwa wale waliosonga kiumri nawapa shikamoo, kwa wengine ambao sijui rika zenu salamu zangu ziwafikie.

Leo wakati nimetulia nilipata bahati ya kusikiliza oldies, kwa bahati nilikutana na kibao cha Toni Braxton kinachofahamika kwa jina la "Spanish Guitar". Kiukweli vijana wa kisasa tunapata makombo ya muziki kutoka kwa wasanii wengi (almost 95% ya muziki wa sasa hauna hadhi ya kuitwa mziki).

Kwanza nilipenda uimbaji uliotulia, melody nzuri ya kutulia, kupanda na kushuka kwa sauti, mdundo (Piano, snares, Guitar, kick na vingine). Kiukweli njia pekee ya kufaidi vitu vya kale ni kupitia mziki uliotunzwa kwani utamu unabaki vilevile bila kuchujwa, inawezekana ukisimuliwa hadithi ya kale ikaongezewa makolombwenzo ambayo hayakuwepo ila muziki unabaki pale pale.

RnB, Soul, Country, Jazz, Rock na Pop za kale ziko vizuri. Wazee wetu mlipata ladha nzuri ya muziki.

Lyrics 🎻🎸
A smokey room, a small café
They come to hear you play
And drink and dance the night away
I sit out in the crowd and close my eyes
Dream you're mine
But you don't know
You don't even know that I am there
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
'Til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
All night long
(All night long) all night long
I'd be your song
I'd be your song
Steal my heart with every note you play
I pray you'll look my way
And hold me to your heart someday, yeah
I long to be the one that
You caress with a tenderness
And you don't know
You don't even know that I exist
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
('Til the dawn) 'til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
(All night long) all night long
(All night long) all night long
(I'd be your song) I'd be your song
Te sientes inteligente
Cierras tus ojos
Y suenes que soy tuyo
Pero yo no se
Ni si quiera que estas aqui
Me gustaria tenerte en mis brazos amor
I sit out in the crowd and close my eyes
Dream you're mine
And you don't know
You don't even know that I exist, oh
I wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar
And you would play me through the night
('Til the dawn) 'til the dawn
I wish you'd hold me in your arms
Like that Spanish guitar
Wish that I was in your arms
Like that Spanish guitar (Spanish guitar)
(All night long) all night long
(All night long) all night long
(I'd be your song) I'd be your song
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah
I'll be your song, your song, your song
Play me all night long
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah (you could play me like that Spanish guitar)
I'll be your song, your song, your song
I wanna be your song
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah
I'll be your song, your song, your song
Hold me baby all night long
I'll be your song, your song, your song
I'll be your song, yeah.

Bongo fleva si muziki wa maana.....kila kitu kiko copy na kupaste
 
Kwangu Mimi the most romantic songs ni hiyo Spanish guitar na Hii ya Johnny Gill 🔥🔥🔥🔥🔥

Nyimbo za hivyo zipo, waimbaji wa hivyo wapo,aina ya mziki huo upo,but haupo kwenye mainstream..kuna radio ya Sweden inaitwa stringstay nasikiliza ngoma kila siku
True, bado wapo Ila kwa era Hii ya muziki ambayo teknolojia ni kubwa, kupata zile pure talent kama Tony, R Kelly, MJ, whitney, mariah ni ngumu sana

Ukiangalia kama The weekend, Bryson Tiller, HER, Taylor swift au ella mai, wanatengeneza good music na wanafanikiwa lakini talent wise hawafikii hiyo era iliyopita. Labda kidogo SZA namuona yupo vizuri hasa kwenye uandishi na sound yake Ila live performance bado kiwango
 
Back
Top Bottom