Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Muziki umebadilika kidogo, mfano Taylor swift wa kwenye album ya Fearless ni tofauti na Taylor wa album 1989,genre zinachanganywa,,country imekua County/Pop,rap imekua hiphop/Rnb,..styles zimekua nyingi sana...True, bado wapo Ila kwa era Hii ya muziki ambayo teknolojia ni kubwa, kupata zile pure talent kama Tony, R Kelly, MJ, whitney, mariah ni ngumu sana
Ukiangalia kama The weekend, Bryson Tiller, HER, Taylor swift au ella mai, wanatengeneza good music na wanafanikiwa lakini talent wise hawafikii hiyo era iliyopita. Labda kidogo SZA namuona yupo vizuri hasa kwenye uandishi na sound yake Ila live performance bado kiwango