Toni Braxton - Spanish Guitar, nyimbo za wasanii wa RnB za Kibongo tunapigwa

He wasn't man enough for me ilikuwa Kali kipindi kilekile, Ila Breath again na hii Spanish guitar Kali hadi leo
Hii nyimbo inanikonga moyo toka mtoto sijuo hata anaimba nini hadi mzee sasa.
Huyo mwanamama nnamwelewa sana.
Kuna na ile he wasn't a man enough for me
 
Mmekumbuka zamani tu malegend saa hivi vijana wanakiwasha sio poa kama huyu platnumz tuendelee kujivunia sana waTanzania
 
Hata bongo fleva mziki wa zamani mzuri kuliko wa sasa . Matusi matupu.
 
Breath again ni kazi nyingine ya Toni ambayo itachukua karne nyingi kuchuja
 
Nyimbo za hivyo zipo, waimbaji wa hivyo wapo,aina ya mziki huo upo,but haupo kwenye mainstream..kuna radio ya Sweden inaitwa stringstay nasikiliza ngoma kila siku
 
Like the same,Mary J Blige Queen of hiphop soul.kuna Whitney Houstone nyimbo I have nothing ni noma sana.

hao washapiga hela sasa wametulia wanakula mshiko tu.
Na brandy namwelewa sana.
Wakati tunaelekea ukingoni mwa generation, nilikuwa namwelewa Ashanti pia.
 
Bongo fleva si muziki wa maana.....kila kitu kiko copy na kupaste
 
Kwangu Mimi the most romantic songs ni hiyo Spanish guitar na Hii ya Johnny Gill 🔥🔥🔥🔥🔥

 
Nyimbo za hivyo zipo, waimbaji wa hivyo wapo,aina ya mziki huo upo,but haupo kwenye mainstream..kuna radio ya Sweden inaitwa stringstay nasikiliza ngoma kila siku
True, bado wapo Ila kwa era Hii ya muziki ambayo teknolojia ni kubwa, kupata zile pure talent kama Tony, R Kelly, MJ, whitney, mariah ni ngumu sana

Ukiangalia kama The weekend, Bryson Tiller, HER, Taylor swift au ella mai, wanatengeneza good music na wanafanikiwa lakini talent wise hawafikii hiyo era iliyopita. Labda kidogo SZA namuona yupo vizuri hasa kwenye uandishi na sound yake Ila live performance bado kiwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…