Toni Braxton - Spanish Guitar, nyimbo za wasanii wa RnB za Kibongo tunapigwa

Muziki umebadilika kidogo, mfano Taylor swift wa kwenye album ya Fearless ni tofauti na Taylor wa album 1989,genre zinachanganywa,,country imekua County/Pop,rap imekua hiphop/Rnb,..styles zimekua nyingi sana...
 
Muziki umebadilika kidogo, mfano Taylor swift wa kwenye album ya Fearless ni tofauti na Taylor wa album 1989,genre zinachanganywa,,country imekua County/Pop,rap imekua hiphop/Rnb,..styles zimekua nyingi sana...
Ni kweli brother, genre huwa zinabadilika kutokana na demand ya soko Ila uwezo wa msanii hautegemei hilo. Ni aidha ana talent au hana. Mfano enzi za R Kelly, whitney au Tony, mtu alitakiwa kuwa na kipaji kweli kweli ili awe mega star Ila shift ya kuingia kwenye RnB ya late 1990's to early 2000's, hapo ndio kulizaa wasanii wenye average singing ability kama Ashanti, J lo etc hadi leo

Kwa hiyo hata Taylor Swift ni good writer Ila sio good vocalist regardless ya genre gani anaimba na sio lazma awe kwa kuwa industry haizingatii hiyo qualification kwa sasa
 
Kwa sasa biashara imekua ndio lengo kuu,sio kipaji kuna industries plants kama BTS,ukiwa na muonekano tu watu wanakueka chini miaka mitano,una debut una vunja recods...kuna Channel nasikiliza inapiga ngoma indies tu...nakutana na nyimbo za maana...now ili ufanye mziki mzuri lazima uwe independent..anagalia boom bap rap ipo wapi...new wave ime take over
 
Industries plants ni wengi kwa sasa cha msingi wana muonekano au personalities zinazoweza kujenga influence kwenye online global platforms πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Tafadhalini, msisahau kusikiliza 'it feels so good' ya sonique. Acha kabisa!!
 
Na kuna huu wimbo wa injili wake Patrick Kubuya--MOYO WANGUπŸ™πŸ™πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…