Tontoh dikeh: Mume wangu aliniambukiza sana magonjwa ya zinaa.

Kawaida sana hizi issue kutokea.. Ni kwa pande zote...
 
Tontoh mapepe sana Yule hawezi kutulia, halafu Ana dharau sana, hata waigizaji wenzie wanasema, alishagombana karibia na wasanii wote, ikiwemo van vicker na mercy johnson
Mambo baby [emoji7]
 
Mimi ilinishangaza alivyokuwa anaonyesga vitu alivyokuwa ananunuliwa na mume wake na kumpa sifa kibao.kumbe yote uwongo hajanunuliwa.wanawake wa aina hiyo wapo wanajifanya Hiki nimenunuliwa kumbe anajinunulia mwenyewe.ili uonekane wewe hupendwi.au sifa kibao mitandaoni my baby kumbe ndani moto mtupu.tonto alikuwa akimpacsifa mume balaa.kumbe ndani mpaka vipigo mtu
 
Mtoto wa kike akishaachwa na mtu anaempenda ataongea maneno mengi sana tena mengi ya kashfa ili awaogopeshe wengine watakao kuja
 
H
ata haya anayoeleza leo yawezekana sio ya kweli,anampaka matope tu mshkaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…