Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha......"Na usimuamini sana demu, akikutongoza ukimuacha atakutangaza una kibamia"
"Na usimuamini sana demu, akikutongoza ukimuacha atakutangaza una kibamia"
"Na usimuamini sana demu, akikutongoza ukimuacha atakutangaza una kibamia"
Mambo baby [emoji7]Tontoh mapepe sana Yule hawezi kutulia, halafu Ana dharau sana, hata waigizaji wenzie wanasema, alishagombana karibia na wasanii wote, ikiwemo van vicker na mercy johnson
Mume mwenyewe mbona kama mario hivi...
Ameolewa tayari...na muzunguNampenda sana uche jombo ningekuwa na uwezo ningemuoa
Kuna watu wanafaidi dunian Toto lileAmeolewa tayari...na muzungu
ata haya anayoeleza leo yawezekana sio ya kweli,anampaka matope tu mshkajiMimi ilinishangaza alivyokuwa anaonyesga vitu alivyokuwa ananunuliwa na mume wake na kumpa sifa kibao.kumbe yote uwongo hajanunuliwa.wanawake wa aina hiyo wapo wanajifanya Hiki nimenunuliwa kumbe anajinunulia mwenyewe.ili uonekane wewe hupendwi.au sifa kibao mitandaoni my baby kumbe ndani moto mtupu.tonto alikuwa akimpacsifa mume balaa.kumbe ndani mpaka vipigo mtu
Umeona eehomotala jalade nampa hongera kwa kuweza kudumu miaka yote ndoani