Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ndiyo nani huko duniani jamani , maana tuko huku kuzimu hatuwajui haoView attachment 2773242
Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Over 1 million, eti aliishia kuomba radhi kwao huko UK.Aliua watu gani?
Aliwauaje? Na kwa kosa gani?Over 1 million, eti aliishia kuomba radhi kwao huko UK.
Ndiyo nani huko duniani jamani , maana tuko huku kuzimu hatuwajui hao
huyu jamaa ni mojawapo ya watu wa kuzimu kabisa.View attachment 2773242
Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Sasa nimemjua haki ni shetani kabisaMkuu soma hiyo, jinsi Blair alivyo udanganya ulimwengu na wanajeshi wao kuua huko Iraq.
Huyo Tony Blair hana moral authority ya kukaa na mtu yeyote wa heshima, kwa mauaji aliyofanya.huyu jamaa ni mojawapo ya watu wa kuzimu kabisa.
Si kaja kama mtalii mwengine yeyote? Watanzania mbona kila siku tunaenda Uingereza.
Kati ya vipusa wa kuwaona ni Rais wa Zanzibar?Si kaja kama mtalii mwengine yeyote? Watanzania mbona kila siku tunaenda Uingereza.
Silioni tatizo hapo.
Wairaki walimnyonga Saddam , kwa shinikizo la NATO, hasa Tony Blair na Marekani.Ilikuwaje wairaki wakamnyonga sadam badala ya Tony Blair?
DeepeewiiiiiDaily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Raia wa Iraq.Aliua watu gani?