Kwahiyo unataka kusema Rais Mwinyi yeye hana mikono ya damu? Mbona mnasahau mapema sana? Ukumbuki watu wa Zanzibar waliouliwa kipindi cha uchaguzi kilichomuingiza Mwinyi kwenye Urais mwaka 2020?Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.