masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kama ulikuwa hujazaliwa heri ukae kimya tu.Wameua wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulikuwa hujazaliwa heri ukae kimya tu.Wameua wapi ?
Kwanini nikae kimya?...Kama ulikuwa hujazaliwa heri ukae kimya tu.
Tony Bliar na mwenzie George Bush walitakiwa wawe gerezani kwa uharamia wa kijeshi nchini Iraq na LibyaDaily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
BlAIR SASA ANAFANYA KAZI YA KUWASHAURI/kuwapotosha WATAWALA WA AfrikaMmh huyu mbona hakauki kuja TZ? Kunani? Kuna kitu tu hatari kwa ujio wa huyu bwana mara kwa mara?
Hujakua uyaone!Kwanini nikae kimya?...
Kuna watu wanajiondoa uafamu dhidi ya ukweli huu.Tony Bliar na mwenzie George Bush walitakiwa wawe gerezani kwa uharamia wa kijeshi nchini Iraq na Libya
Mgeni njoo mwenyeji apone.....Mmh huyu mbona hakauki kuja TZ? Kunani? Kuna kitu tu hatari kwa ujio wa huyu bwana mara kwa mara?