Kwahiyo unataka kusema Rais Mwinyi yeye hana mikono ya damu? Mbona mnasahau mapema sana? Ukumbuki watu wa Zanzibar waliouliwa kipindi cha uchaguzi kilichomuingiza Mwinyi kwenye Urais mwaka 2020?Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Sadam alihukumiwa kifo na mahakama ya Iraq baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika moja kwa moja na mauaji ya Washia 148 kwenye mji wa Dujail mwaka 1982.Wairaki walimnyonga Saddam , kwa shinikizo la NATO, hasa Tony Blair na Marekani.
Lakini ikaja kuonekana kuwa zaidi ya majigambo ya "Mother of all Battles" hakuwa na lolote!
Hapa Tanzania hakuna waliojeruhi hata kuua? Tuna ujasiri gani wa kuwanyooshea vidole wengine?Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
Ww mwanamke nenda kampe bwana wako utelezi ulichokiandika tofauti na ulichokijibuKama Tony Blair ni Angel of Darkness basi Jiwe atakuwa ni Master of darkness
Sasa hapa umeongea nini hujitambuiKama Tony Blair ni Angel of Darkness basi Jiwe atakuwa ni Master of darkness
🤣🤣Jiwe atakufata usiku huu jiandaeKama Tony Blair ni Angel of Darkness basi Jiwe atakuwa ni Master of darkness
Tumiaga akili basi, sasa kama Bush na Blair wamekuja Tanzania ,basi dhambi zao zimetakaswa?Hapa Tanzania hakuna waliojeruhi hata kuua? Tuna ujasiri gani wa kuwanyooshea vidole wengine?
Goerge Bush Junior aliyeongoza vita hiyo ya kusaka silaha za maangamizi Iraq mbona alikujaga Tanzania kugawa vyandarua na kucheza ngoma na wamasai huku akiwa na mission ya kufutilia mbali deal ya Uranium Kati ya Russia na Tanzania?! By the time tayari Kampuni ya Russia ya Manthrax ilishaanza kuchimba uranium Namtumbo? Mkakaa kimyaaa?! Baadaye akaja Clinton, kimyaaa, akaja Obama kimyaaa. Nongwa gani uliyonayo na Uingereza ambayo is just allied party to US by the time of war?
Alipokuja wakati ule bado tuli protest.Tanzania: President Samia hires Tony Blair in fight against Covid - The Africa Report.com
“We have been leg behind since the start of this pandemic and at least now we are able to see the way forward. The government is buying PPE in hospitals as well as testing people but more work must be done, says Doctor Shadrack Mwaibambe who is a president of Tanzania Medical Association.www.theafricareport.com
Soma hapo umechelewa sana Samia alishamkaribisha muda mrefu sana.
HahahHawa watu wanabeba jumbe za viongozi wao,sijui kuna jambo gani!utaambiwa uwekezaji
Niice. Karibu ZanzibarDaily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde, usishiriki na muuaji.
We miss Mwalimu, a clear thinking Statesman.Niice. Karibu Zanzibar
MakongoroWe miss Mwalimu, a clear thinking Statesman.
Kama tuliwakaribisha hao wababe Wa vita ya Iraq kipindi hicho iweje Leo tumsakame Rai's Hussein Mwinyi? Wewe ndo utumie akili not meTumiaga akili basi, sasa kama Bush na Blair wamekuja Tanzania ,basi dhambi zao zimetakaswa?
Abgekuwa kiongozi mwafrika wote mngekuwa midomo juu, apelekwe, apelekwe The Hague!
Una umri ganiAliwauaje? Na kwa kosa gani?
Under 18Una umri gani