Tony Blair, angel of Darkness yuko Zanzibar!

Mliprotest wakati kafanikisha madili kadhaa ya Samia.
 
Hakika Dr Mwinyi kaa mbali na tony blair. Huyo ni malaika wa kuzimu. Atakushawishi hadi kukuhonga umpe dili za kampuni zake wala hatajali kama hakuna maslahi kwa zanzibar. Huyo mtu amesababisha kwa uongo wake na bush raia wa iraq mamilioni kufa na nchi yao iliyokua na maendeleo makubwa kuharibika kabisa. Isitoshe walivyokua wanyama wakamyongo kiongozi wao kwa kamba kwa hukumu waliyopanga wao.
Aisee..kaa mbali na hiyo mtu. Wengine tunatamani kumpiga mawe akija mitaa yetu bila nyie kumlinda.
 

Viongozi waafrika ndio wana mikono iliyojaa damu ya wasio na hatia tena ni wananchi wao.
 
Mliprotest wakati kafanikisha madili kadhaa ya Samia.
Mara samia alivyoingia tu urais.. huyu hapa tony blair, kama vile alikua anasubiria dili la kufa magufuli. Akapiga mamilioni aliyokopa samia world bank mojawapo ya kazi yake walivyokubaliana eti kuisafisha tanzania sifa mbaya aliyoweka magufuli. Huyo ndio samia eti kuna wanasema anaupiga mwingi😂🤣
 
Si kaja kama mtalii mwengine yeyote? Watanzania mbona kila siku tunaenda Uingereza.

Silioni tatizo hapo.
Wapo watalii ambao huenda kutalii wakiwa na ya ziada kwa faida ya jamii na nchi zao.
Naweza kuja kwako kwenye maulidi ili nipate fursa ya kukutana nawe kwa lengo maalum.
 
eti kampuni ya russia ya manthrax, mkuu kama hujui si ukae tu kimya.
 
Mzee mnoko sana wewe...
Mkapa alichinja wangapi Zanzibar?
Ulipiga kelele?
Tanzania hii polisi inaua mara ngapi?
Utawala uliopita walipotea wangapi?
Mnafiki sana
 
Wapo watalii ambao huenda kutalii wakiwa na ya ziada kwa faida ya jamii na nchi zao.
Naweza kuja kwako kwenye maulidi ili nipate fursa ya kukutana nawe kwa lengo maalum.
Sijakuelewa. Malengo maalum yepi?
 
Habari ya sasa hivi lakini picha ni kama ya miaka ya 80; inashangaza
 
Mkuu naona umeamua kuzeeka na roho mbaya inayoongozwa na fitina za kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…