Too good for me. . .

Too good for me. . .

Yap u got it.. Btw has it ever happened to you?!

Hehehehehe. . .I know one or two 'Gentleman like' lads but I try to keep my distance. Don't wanna be dissapointed aisee.
 
Mi kila siku nachungulia kwa nje naona hamna watu naendelea na shughuli zangu. Njoo basi. . . .

Heheh......asavali umenifundisha kaujanja, nami naanza kufanya hivyo!!! Nitakuja nikipata hela ya sadaka na fungu la kumi! Msalimie best.....
 
Kumsimulia huyo wa sasa mambo ambayo ya wako wa zamani ambayo yeye hayamhusu sidhani kama ni jambo zuri. Ni vzr kuconcernatrate na mipango yenu ya maisha ya baadaye badala ya kuhangaika kusimuliana habari za wapenzi wenu wa zamani, zitawagharimu hizo stori!

Kwangu mimi, naona ni ishu ndogo na si njia sahihi ya kumfurahisha uliyenaye kwa kumponda uliyeachana naye. Sorry.
 
you surely have got a point here... once you have closed one chapter, just forge ahead; si watu wengi wanafurahi kusimuliwa habari za EX au kuhisi kwamba mpenzi yuko so nostalgic about his/her past relationship
 
Back
Top Bottom