Amyner
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 2,396
- 882
Yap u got it.. Btw has it ever happened to you?!Hhhmmm. . .so he was a 'Gentleman' like?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap u got it.. Btw has it ever happened to you?!Hhhmmm. . .so he was a 'Gentleman' like?
Mimi ndio itakuwa mwanzo wa kuwa the new EX wake, maana this implies am not good enough!
We kakondoo nawe. . .mbona kanisani huji?
Mi kila siku nachungulia kwa nje naona hamna watu naendelea na shughuli zangu. Njoo basi. . . .
Kumsimulia huyo wa sasa mambo ambayo ya wako wa zamani ambayo yeye hayamhusu sidhani kama ni jambo zuri. Ni vzr kuconcernatrate na mipango yenu ya maisha ya baadaye badala ya kuhangaika kusimuliana habari za wapenzi wenu wa zamani, zitawagharimu hizo stori!
Kwangu mimi, naona ni ishu ndogo na si njia sahihi ya kumfurahisha uliyenaye kwa kumponda uliyeachana naye. Sorry.