Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Tena unauziwa mbuzi ambaye asharuka mpk ukuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukimkosa mmoja basi kuna wengine, labda haujapangiwa. Ila msichukulie papwuchi ndio itawaletea furaha katika ndoa. Kuna mengi zaidi, mahaba unaweza mfunza mtu, ila kuna mengine mmmmmh usipochunguza unajikuta unaingia kwenye kaa la moto hata kama pupu tamu inakupeleka hadi cloud9.

Msali mpate wake wema.
Ushauri mzuri sana, ungekuwa na mawazo kama haya katika jukwaa la siasa ingekuwa safi sana.
 
Hivi kweli mdada safi utamkunja kwa mazingira magumu kamahayo???? Ebu tafuta location then uletemrejesho sio kulialia mwanaume
 
Mi ukinibania hiyo kitu naona sasa kama waninyima pumzi aisee. Waweza leta madhara kwa wengine maana hiyo kanyaga twende mmmh. Jamani tupeni tu maana hakuna namba. Mpigwe tu
 
Hahaha ww ndio "too late" jamaa povu linakutoka bila omo,inaonesha dhahiri leo ulikuwa uende peponi ila wajanja wamekuwahi sasa hasira unakuja kumalizia humu dah..ww tafuta pesaa jombaaa...afu we si muoaji ww utakuwa singo faza tuu.
Sasa kwa taarifa yako wenye pesa ndiyo huwa hawaoi
 
Tukitoa mnasema malaya tukibania mtazeekea kwenu duuh hamna jema
ni kweli aisee binadam sisi,ila vizur ukamjua mtu,mi mwanamke akinipa papuchi hua namthamini zaid ya kila kitu,unajua papuchi ndio sehem ya mwananke muhimu sana so akikupa ujue na ww ni wa muhimu,
 
Back
Top Bottom