Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Nawaambiaga kila siku kubana papuchi hakuta waongezea thamani yoyote ...na ktk dunia ya Leo hakuna mwanaume atakubali aoe bila kuonja mzigo never
Mkuu usiwasemee watu huo ni upuuzi Kama unaamini we huwezi ila wenzako wanaweza eboo!!
 
Pole sana.. kukubaliwa au kukataliwa yote majibu... piga moyo konde na maisha yaendelee... Tatizo linakuja pale huyo unayemuona anagawa ovyo pale anapokubania wewe tu... Ukiona mwanamke anakubania hajakupenda...
 
Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.
Nitarudi baada ya muda mfupi ngoja nitumikie taifa kwanza....
 
Hii habari ya kumnyima papuchi mtu ambaye amekuhakikishia kukuoa, eti tu kwasabb wengi waliwahi kutumia mbinu hiyo kisha wakamega na kusepa, itawakimbiza wachumba wengi. Mtaishia kuvaa sare kwenye harusi za wenzenu.

As long as ulianza kwa kugawa hovyo, basi mpe hata huyu ambaye kaja sasa. Huwenda ana nia njema ya kukuondolea nuksi ya kuendelea kuwa jamvi la wageni.

Achana na mtindo wa kuanza kutii maelekezo ya wazazi at your late 20s,kwasabb tu unataka kuolewa. It's too late. Nani atarudi kwako tena na uzee wako huo? Ndiyo. At your late 20s, wewe ni mzee!

Wakati wewe na uzee wako unabania mtoto wa miaka 19 anagawa bila hiana, kwa kihepe (chips) tu.

Shauri zenu
Kwa hiyo unashauri watu wawe waasherati au?
 
Yani wewe kaka kugombana na mpenzi wako kisa kakataa kuja kwako ndio yamefika hadi huku?

Kwanini umekosa hekima na adabu kiasi hiki? Yeye ana miaka 29 tu unamuona mzee,wewe mwenye 38 sijui 39 tukuite nani?

Kisa mtoto wa watu amekupenda na umeona anataka kuolewa ndio unatake advantage.

Kuolewa sio pumzi tuseme usipomuoa atakosa kuishi,acha kashfa na dharau.
Yani una bahati msichana wa watu ni mpole,ningekuwa mimi ungekoma.

Behave bhana,acha mambo zako hizo.
Usiniulize nimekujua vipi maana sitokujibu.
 
Nasisitiza wanawake endeleeni kubana...ukiachia iwe genye zimekubana sna!!Hakuna kutoa papuchi.Tena wote mkibana akili zitawakaa sawa...tutafungua viwonder vyetu vya Sabuni

Adabu hawana hawa!!!
 
Mtoa mada ukijaribu kuvaa uhusika wa msichana / binti uliyemwelezea utagundua kuwa hii ni changamoto kubwa kwao hasa kwa wale wacha Mungu.

Kwa kuandika hivyo umewadhalilisha mabinti.
Haswaaaaa binti wa watu ni Mchamungu,sio sawa na wadada micharuko wa mjini.
Kamdhalilisha sana,yani hapa akilogwa tu anijibu mbovu leo amekwisha.

Kwanza huu uchafu wake anaopost huku nitauanika kwa familia ya binti.
Huyu mwanaume ni mshenzi sana.
 
Duuh, kumbe unamfahamu zaidi ya hapa? [emoji15]
 
Haswaaaaa binti wa watu ni Mchamungu,sio sawa na wadada micharuko wa mjini.
Kamdhalilisha sana,yani hapa akilogwa tu anijibu mbovu leo amekwisha.

Kwanza huu uchafu wake anaopost huku nitauanika kwa familia ya binti.
Huyu mwanaume ni mshenzi sana.
Calm down my dada
 
Ukimkosa mmoja basi kuna wengine, labda haujapangiwa. Ila msichukulie papwuchi ndio itawaletea furaha katika ndoa. Kuna mengi zaidi, mahaba unaweza mfunza mtu, ila kuna mengine mmmmmh usipochunguza unajikuta unaingia kwenye kaa la moto hata kama pupu tamu inakupeleka hadi cloud9.

Msali mpate wake wema.
Kumbe nje ya ukada una akili eee
 
Hahaha ww ndio "too late" jamaa povu linakutoka bila omo,inaonesha dhahiri leo ulikuwa uende peponi ila wajanja wamekuwahi sasa hasira unakuja kumalizia humu dah..ww tafuta pesaa jombaaa...afu we si muoaji ww utakuwa singo faza tuu.
Mumu, dadangu upo!!!
Mithi you sanaaaa
 
Back
Top Bottom