Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

ha ha ha nicheke tu wenzenu tunalilia kwanini anko anabana hela utawala huu nyie mnalili papchi inabanwa hadi ndoa.
 
Hasira hazisaidii cha muhimu ajitathmini kwa nini anabaniwa?
 
Maisha ni yao lakini haya malalamiko yao ya kutoolewa wanataka yatafutiwe suluhisho na wote ...sasa kila kitu kinaanzia kwenye msingi....km hana misingi bora ya maisha bas hiyo ndoa aendelee kuiskia kwa wengine
Kwani we unazungumzia misingi ipi haswa?
 
wanawake nawashauri mwendelee kubana ili tupate sababu za kuachana..... wengine tukigegeda hatuoi na tusipogegeda ndo kabisaaaa usiweke ndoa kichwan...!!!!
Eti tukigegeda hatuoi tusipogegeda pia hatuoi..... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tukitoa mnasema malaya tukibania mtazeekea kwenu duuh hamna jema
Ww ilete tuicharaze kwanza......tuinyandue nyandue kisha tuandike recomendations zetu....sio unabana mpaka iote kutu ....papuchi rafiki yake pum.b .....tafadhali usizuie huo urafiki
 
Ww ilete tuicharaze kwanza......tuinyandue nyandue kisha tuandike recomendations zetu....sio unabana mpaka iote kutu ....papuchi rafiki yake pum.b .....tafadhali usizuie huo urafiki
Alafu mwisho wa siku unaikashfu na kuiacha sio??
 
kuna wengine wananyima waume zao unasema hao? bora hao hawa walioolewa anaanza kuchakalika kukujali pale anagundua una kamchepuko na wewe ujali
 
He he he he heiyaa! (in dida's voice).
Kumekucha tayari! MTU kashanyimwa huko.
 
Acha kupotosha dada zetu.
Nyambaaafuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…