Too late akina dada, kumnyima utamu anayehakikisha kukuoa kisa walikutumia wakakuacha

Ndo nenda kwa huyo mtoto wa miaka 19 sasa.
Kugawa au kutoa ni maamuzi ya mtu.
Kama kunyimwa papuchi kunakufanya usinioe basi tambaa mbele... Hukua na nia ya kuoa.
Wapo wanaosimama na msimamo huo na wanaolewa. Ko kama unatafuta pa kuonja wapo wanaoruhusu kuonja pia.

Kuna raha yake mkutene kimwili mara ya kwanza baada ya ndoa!!! Haijalishi kama ni bikra au la! Ni msimamo tu.
Awap hiyo n dharau iweje wengne uliwapa afu mm muoaj ndo uninyime!! Apo utakuwa umeniona wa koromije kbs.
 
Ni decision yenu wawili. Kuna wanaume wengine ndo wanaleta hiyo idea wao wenyewe! Its just the matter of creating a special wedding night.
If you cannot do it kuna ambao wanaweza. Inamaanisha ntamsubiri huyo atakaeweza basi! Ata nikiolewa at 40 ni sawa tu.
 
At 40's do not try it at home....Maliza majukumu ungali kijana....
 
Hii sijui imekaaje sasa. Tuseme ndio tunachochea kutenda dhambi ama? Akija tu kwa gia ya kuoa apewe mzigo aonje, akikuta sio anasepa na hiyo testing haijukalini inachukua pengine muda gani kupata majibu sahihi whether positive or negative.
Nitakuwa wa mwisho kukubaliana na hii scenario yako ndg.
 
Kabisa mkuu,msichana asivuke 27 mwanaume 30.
Zaidi ya hapo ni stress tu.
At 40 hata viungo vya uzazi vimejichokea au vinaelekea hivyo kuna riski ya kuzaa watoto wasiosawa sawia....Out of that Ushauri wangu kuhusu huyu jamaa uliupata@Nifah
 
“Wakuu Lazima ujue ladha ndio uje kuoa”, usilazimishe mahusiano utakuwa mtumwa, usianzishe uhusiano na mwanamke asie kupenda utawaolea masela watakuwa wanamega kila siku. Dont get into marriage because of peer pressure utakuja kulia na kusaga meno. Relax, just go with the flow…
 
Back
Top Bottom