Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

Pole yake hiyo toothpick hata kama umeichokonolea meno haina usalama ikiingia sehem za ndani ya mwili, ndio maaana vifaa vyote vinaingia kwenye mwili wa binadam lazima viwe sterile.
 
Duh pole sana ndugu kwa nikupongeze kushtuka mapema pili naomba kujua viwanda vya toothpick SI viko aoaapa bongo Ina maana wstanzania sasa tumechikana kiasi hiki mpk tunaanza kupunguzana sisi kwa sisi
 
Duh pole sana ndugu kwa nikupongeze kushtuka mapema pili naomba kujua viwanda vya toothpick SI viko aoaapa bongo Ina maana wstanzania sasa tumechikana kiasi hiki mpk tunaanza kupunguzana sisi kwa sisi
Toothpick wanainport toka china masta , ebu toa mfano wa kiwanda kimoja hapa bongo
 
Kuwa makini na jitu chochote kinachokujeruhi kwani unaweza kupata pepopunda(tetenasi), tunatabia ya kuamini tetenasi inapatikana kwene vitu vyenye kutu, la hasha, kitu chochote chenye uchafu kikiwemo kijiti ambacho tayari kilikuwa kimetumika na kupata vijidudu kutoka mdomoni.
Pole kwa kilichokupata ila waone wataalamu waangalie kama upo ulazima wa kukikata ili tatizo lisizidi kusambaa.
 
Aende hospitali

Aache ujinga
 
Daah hatar sana sijui ingekuchoma mdomoni saiv mzee angekuwa hana meno wala taya pole
 
Hiyo toothpick kama ulikua tayari uneweka mdomoni yaani kinywani ukaanza kuchokonoa meno kuna bacteria ambao ni wengi sana mdomoni na ni hatari sana wakiwa eneo tofauti na hapo yani kwa kundi moja tunawaita "COMPOSITION OF THE ORAL MICROBIOME"
Cocci – Abiotrophia, Peptostreptococcus, Streptococcus, Stomatococcus. Rods – Actinomyces, Bifidobacterium, Corynebacterium, Eubacterium, Lactobacillus, Propionibacterium, Pseudoramibacter, Rothia.

Hawa ni normal flora wakiwa kinywani lakin wakiwa sehemu nyingine ni hatari sana hapo ni kwenda kwa kws Daktari wa mifupa tu.Pole sana mkuu.
 
Imagine kile inafanya kwa fizi zako kama imeweza kufanya hivyo kwa kidole
 

Pole kwa mhusika.

Kwa vyovyote ilivyotokea na vilivyohusika, hii ni Cellulitis(maambukizi ya bakteria yaliyojipenyeza kupitia ufa uliojitokeza kwenye ngozi).

Anahitaji/mshauri na usisitize:
1: Kufika hospitali ya ngazi ya juu, sisitiza hospitali.

2: Ataandikiwa dawa kulingana na hali yake ya kidonda.

3: Azingatie usafishaji wa kidonda na dawa.

4: Kunaweza kuwa na kuhitaji kuangalia uwezekano wa kuhusishwa mfupa kwenye maambukizi kulingana na hali ya kidonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…