Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Pole yake hiyo toothpick hata kama umeichokonolea meno haina usalama ikiingia sehem za ndani ya mwili, ndio maaana vifaa vyote vinaingia kwenye mwili wa binadam lazima viwe sterile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh pole sana ndugu kwa nikupongeze kushtuka mapema pili naomba kujua viwanda vya toothpick SI viko aoaapa bongo Ina maana wstanzania sasa tumechikana kiasi hiki mpk tunaanza kupunguzana sisi kwa sisiWasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.
Anaanza kusimulia
Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi
Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea mimi mwenyewe na sasa nipo kitandani ninaugulia maumivu
Ni hivi siku moja zimepita wiki mbili sasa tulikuwa na ndugu zangu tunapata chakula sehemu moja hapa Iringa maarufu Nelly Nyama choma ipo maeneo karibu na uwanja wa samora tulipo maliza kula tunanyanyuka tuondoke zetu mmoja wetu akaigonga meza kwa bahati mbaya chupa ya soda ikawa inadondoka mimi nikaona niidake isivunjike kwa bahati mbaya nilikuwa nimeshika toothpick mkono wa kushoto hivyo nikaigongesha kwenye meza ikaingia kwenye kidole cha kati cha mkono wanu wa kusho. Japo kuwa iliingia kipande kilefu lakini iliniletea maumivu makali sana na niliivuta kuichomoa binafsi niliona ni kawaida tu kwa kuwa mala nyingi ninaumia hasa kwenye mabati nikaona kama ni jambo dogo tu.
View attachment 2932168
Sasa baada ya siku kama tatu mbele nikaanza kupata maumivu makali sana kiasi kwamba sikuweza kupata usingizi kabisa yaani nalala macho ndipo nikaamua kwenda zahanati ya Police hapa Iringa nikawaeleza tatizo huku nikiwa na maumivu makali sana Daktari akasema inawezekana baada ya kunichoma hiyo stick inaweza kuwa Bacteria yule anaesababisha kidole kuvimba huwenda ameingia kwenye kidole hivyo akanichana ili kuukamua usaha utoke matokeo yake ilitoka damu tu ambayo ilionesha ni nyeusi iliyo changanyikana na usaha hivyo akaniambia nirudi baada ya siku tatu usiku ule sikupata usingingizi tena hivyo nikapata wazo la kwenda Hospitali ya Roman Catholic mshindo Iringa baada ya ndungu yangu kuniambia pale wana madawa ya vidonda
Hivyo nikaenda hapo kufika pale Dactari kukichunguza kidole akasema wala sio mdudu wa kwenye kidole ni kwamba Ile stick ilikuwa na sumu hivyo kidole kinaoza na ningezidi kuchelewa kingekatwa
View attachment 2932179
Hivyo akanipaka dawa kama mafuta ya mgando hivi akanifunga yaani baada ya kama masaa mawili hivi usaha ukaanza kutoka wenyewe kama unavutwa na kitu yaani sehemu ambayo haina tundu la kjpita panavimba mpaka panataka kupasuka na ndiyo hapa kwenye hii picha sasa ambapo walinitoboa kuutoa nje usaha mapaka ngozi ikasinyaa nesi alie nihudumia yaani jana jumapili akaikata kama jnavyo kiona kidole hapo ili usiendelee kuvimbisha kidole HII NI STORY AMBAYO IMENIKUTA MIMI MWENYEWE na Daktari anasema itanichukua miezi mi3 kupona hiki kidole na hapo nimeandikiwa sindano 5 na kila sindano moja ni 25,000 nimeshachoma 4 kesho ninaenda kumalizia ya mwisho naomba sana tuwe makini sana na hizi Toothpick kumbe zina SUMU ndugu zangu
View attachment 2932184
😂😂😂😂 kvant au visungura mana ndio vinamaliza vijana wetu 😂😂😂Mkuu nisamehe si unajua tena kabla ya kulala lazima ushtue
Toothpick wanainport toka china masta , ebu toa mfano wa kiwanda kimoja hapa bongoDuh pole sana ndugu kwa nikupongeze kushtuka mapema pili naomba kujua viwanda vya toothpick SI viko aoaapa bongo Ina maana wstanzania sasa tumechikana kiasi hiki mpk tunaanza kupunguzana sisi kwa sisi
Kuwa makini na jitu chochote kinachokujeruhi kwani unaweza kupata pepopunda(tetenasi), tunatabia ya kuamini tetenasi inapatikana kwene vitu vyenye kutu, la hasha, kitu chochote chenye uchafu kikiwemo kijiti ambacho tayari kilikuwa kimetumika na kupata vijidudu kutoka mdomoni.Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.
Anaanza kusimulia
Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi
Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea mimi mwenyewe na sasa nipo kitandani ninaugulia maumivu
Ni hivi siku moja zimepita wiki mbili sasa tulikuwa na ndugu zangu tunapata chakula sehemu moja hapa Iringa maarufu Nelly Nyama choma ipo maeneo karibu na uwanja wa samora tulipo maliza kula tunanyanyuka tuondoke zetu mmoja wetu akaigonga meza kwa bahati mbaya chupa ya soda ikawa inadondoka mimi nikaona niidake isivunjike kwa bahati mbaya nilikuwa nimeshika toothpick mkono wa kushoto hivyo nikaigongesha kwenye meza ikaingia kwenye kidole cha kati cha mkono wanu wa kusho. Japo kuwa iliingia kipande kilefu lakini iliniletea maumivu makali sana na niliivuta kuichomoa binafsi niliona ni kawaida tu kwa kuwa mala nyingi ninaumia hasa kwenye mabati nikaona kama ni jambo dogo tu.
View attachment 2932168
Sasa baada ya siku kama tatu mbele nikaanza kupata maumivu makali sana kiasi kwamba sikuweza kupata usingizi kabisa yaani nalala macho ndipo nikaamua kwenda zahanati ya Police hapa Iringa nikawaeleza tatizo huku nikiwa na maumivu makali sana Daktari akasema inawezekana baada ya kunichoma hiyo stick inaweza kuwa Bacteria yule anaesababisha kidole kuvimba huwenda ameingia kwenye kidole hivyo akanichana ili kuukamua usaha utoke matokeo yake ilitoka damu tu ambayo ilionesha ni nyeusi iliyo changanyikana na usaha hivyo akaniambia nirudi baada ya siku tatu usiku ule sikupata usingingizi tena hivyo nikapata wazo la kwenda Hospitali ya Roman Catholic mshindo Iringa baada ya ndungu yangu kuniambia pale wana madawa ya vidonda
Hivyo nikaenda hapo kufika pale Dactari kukichunguza kidole akasema wala sio mdudu wa kwenye kidole ni kwamba Ile stick ilikuwa na sumu hivyo kidole kinaoza na ningezidi kuchelewa kingekatwa
View attachment 2932179
Hivyo akanipaka dawa kama mafuta ya mgando hivi akanifunga yaani baada ya kama masaa mawili hivi usaha ukaanza kutoka wenyewe kama unavutwa na kitu yaani sehemu ambayo haina tundu la kjpita panavimba mpaka panataka kupasuka na ndiyo hapa kwenye hii picha sasa ambapo walinitoboa kuutoa nje usaha mapaka ngozi ikasinyaa nesi alie nihudumia yaani jana jumapili akaikata kama jnavyo kiona kidole hapo ili usiendelee kuvimbisha kidole HII NI STORY AMBAYO IMENIKUTA MIMI MWENYEWE na Daktari anasema itanichukua miezi mi3 kupona hiki kidole na hapo nimeandikiwa sindano 5 na kila sindano moja ni 25,000 nimeshachoma 4 kesho ninaenda kumalizia ya mwisho naomba sana tuwe makini sana na hizi Toothpick kumbe zina SUMU ndugu zangu
View attachment 2932184
Aende hospitaliWasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.

Sema tunaimportToothpick wanainport toka china masta , ebu toa mfano wa kiwanda kimoja hapa bongo
Naona makopo product zipo bongo bhnToothpick wanainport toka china masta , ebu toa mfano wa kiwanda kimoja hapa bongo
Eti eeh labda mkuu ila zilikuwaga zinatoka china ntafuatilia na mimiNaona makopo product zipo bongo bhn
We fuatilia Mimi nishathibitisha ilo lkn je wakati unachomwa na iyo teethpith kiligusa mfupa?Eti eeh labda mkuu ila zilikuwaga zinatoka china ntafuatilia na mimi
Toothpick za hapa home zina jina refu la kichina masta na nishazitupilia mbaliWe fuatilia Mimi nishathibitisha ilo lkn je wakati unachomwa na iyo teethpith kiligusa mfupa?
Yaaah tunaimport mzee nimekosea hapo, na hii yote ni sababu hivi ni vitu vidogo wangeacha watz watengeneze hapa ndaniSema tunaimport
Au wewe sio mtanzania?
Kenya kiwanda basi cha toothpicks
Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family.
Anaanza kusimulia
Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi.
Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea mimi mwenyewe na sasa nipo kitandani ninaugulia maumivu
Ni hivi siku moja zimepita wiki mbili sasa tulikuwa na ndugu zangu tunapata chakula sehemu moja hapa Iringa maarufu Nelly Nyama choma ipo maeneo karibu na uwanja wa samora tulipo maliza kula tunanyanyuka tuondoke zetu mmoja wetu akaigonga meza kwa bahati mbaya chupa ya soda ikawa inadondoka mimi nikaona niidake isivunjike kwa bahati mbaya nilikuwa nimeshika toothpick mkono wa kushoto hivyo nikaigongesha kwenye meza ikaingia kwenye kidole cha kati cha mkono wanu wa kusho.
Japo kuwa iliingia kipande kilefu lakini iliniletea maumivu makali sana na niliivuta kuichomoa binafsi niliona ni kawaida tu kwa kuwa mala nyingi ninaumia hasa kwenye mabati nikaona kama ni jambo dogo tu.
View attachment 2932168
Sasa baada ya siku kama tatu mbele nikaanza kupata maumivu makali sana kiasi kwamba sikuweza kupata usingizi kabisa yaani nalala macho ndipo nikaamua kwenda zahanati ya Police hapa Iringa nikawaeleza tatizo huku nikiwa na maumivu makali sana Daktari akasema inawezekana baada ya kunichoma hiyo stick inaweza kuwa Bacteria yule anaesababisha kidole kuvimba huwenda ameingia kwenye kidole hivyo akanichana ili kuukamua usaha utoke matokeo yake ilitoka damu tu ambayo ilionesha ni nyeusi iliyo changanyikana na usaha hivyo akaniambia nirudi baada ya siku tatu usiku ule sikupata usingingizi tena hivyo nikapata wazo la kwenda Hospitali ya Roman Catholic mshindo Iringa baada ya ndungu yangu kuniambia pale wana madawa ya vidonda
Hivyo nikaenda hapo kufika pale Dactari kukichunguza kidole akasema wala sio mdudu wa kwenye kidole ni kwamba Ile stick ilikuwa na sumu hivyo kidole kinaoza na ningezidi kuchelewa kingekatwa
View attachment 2932179
Hivyo akanipaka dawa kama mafuta ya mgando hivi akanifunga yaani baada ya kama masaa mawili hivi usaha ukaanza kutoka wenyewe kama unavutwa na kitu yaani sehemu ambayo haina tundu la kjpita panavimba mpaka panataka kupasuka na ndiyo hapa kwenye hii picha sasa ambapo walinitoboa kuutoa nje usaha mapaka ngozi ikasinyaa nesi alie nihudumia yaani jana jumapili akaikata kama jnavyo kiona kidole hapo ili usiendelee kuvimbisha kidole HII NI STORY AMBAYO IMENIKUTA MIMI MWENYEWE na Daktari anasema itanichukua miezi mi3 kupona hiki kidole na hapo nimeandikiwa sindano 5 na kila sindano moja ni 25,000 nimeshachoma 4 kesho ninaenda kumalizia ya mwisho naomba sana tuwe makini sana na hizi Toothpick kumbe zina SUMU ndugu zangu
View attachment 2932184
Mkuu hatujazuiwa kutengeneza sema tuko bize na mikasi, kubet na kuchatYaaah tunaimport mzee nimekosea hapo, na hii yote ni sababu hivi ni vitu vidogo wangeacha watz watengeneze hapa ndani
🤣🤣🤣Zipo pia made in TanzaniaToothpick za hapa home zina jina refu la kichina masta na nishazitupilia mbali