Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

Hiyo toothpick kama ulikua tayari uneweka mdomoni yaani kinywani ukaanza kuchokonoa meno kuna bacteria ambao ni wengi sana mdomoni na ni hatari sana wakiwa eneo tofauti na hapo yani kwa kundi moja tunawaita "COMPOSITION OF THE ORAL MICROBIOME"
Cocci – Abiotrophia, Peptostreptococcus, Streptococcus, Stomatococcus. Rods – Actinomyces, Bifidobacterium, Corynebacterium, Eubacterium, Lactobacillus, Propionibacterium, Pseudoramibacter, Rothia.

Hawa ni normal flora wakiwa kinywani lakin wakiwa sehemu nyingine ni hatari sana hapo ni kwenda kwa kws Daktari wa mifupa tu.Pole sana mkuu.
Aiseee...
Kumbe kinywa kina vitu vya hatari hivi???
So kinywa kitumike Kwa Kula Tu , kuongea na si vinginevyo.
 
Mkuu hatujazuiwa kutengeneza sema tuko bize na mikasi, kubet na kuchat
😂😂😂😂😂 katika kitu kina west time muda mwingine ni sex pamoja na associated activities zake, zinapoteza sana hela na time masta
 
Aiseee...
Kumbe kinywa kina vitu vya hatari hivi???
So kinywa kitumike Kwa Kula Tu , kuongea na si vinginevyo.
Ni kama tunavyoishi na umeme nyumbani ni hatari lakini ni muhimu sana sana kwenye mahitaji yetu ya kila siku ...na itakua hatari tu endapo itatokea hililfu n kupelekea kupoteza maisha
 
Back
Top Bottom