Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 372
- 755
Aiseee...Hiyo toothpick kama ulikua tayari uneweka mdomoni yaani kinywani ukaanza kuchokonoa meno kuna bacteria ambao ni wengi sana mdomoni na ni hatari sana wakiwa eneo tofauti na hapo yani kwa kundi moja tunawaita "COMPOSITION OF THE ORAL MICROBIOME"
Cocci – Abiotrophia, Peptostreptococcus, Streptococcus, Stomatococcus. Rods – Actinomyces, Bifidobacterium, Corynebacterium, Eubacterium, Lactobacillus, Propionibacterium, Pseudoramibacter, Rothia.
Hawa ni normal flora wakiwa kinywani lakin wakiwa sehemu nyingine ni hatari sana hapo ni kwenda kwa kws Daktari wa mifupa tu.Pole sana mkuu.
Kumbe kinywa kina vitu vya hatari hivi???
So kinywa kitumike Kwa Kula Tu , kuongea na si vinginevyo.