Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

Aiseee...
Kumbe kinywa kina vitu vya hatari hivi???
So kinywa kitumike Kwa Kula Tu , kuongea na si vinginevyo.
 
Mkuu hatujazuiwa kutengeneza sema tuko bize na mikasi, kubet na kuchat
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ katika kitu kina west time muda mwingine ni sex pamoja na associated activities zake, zinapoteza sana hela na time masta
 
Aiseee...
Kumbe kinywa kina vitu vya hatari hivi???
So kinywa kitumike Kwa Kula Tu , kuongea na si vinginevyo.
Ni kama tunavyoishi na umeme nyumbani ni hatari lakini ni muhimu sana sana kwenye mahitaji yetu ya kila siku ...na itakua hatari tu endapo itatokea hililfu n kupelekea kupoteza maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…