Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
yule Traore unaambiwa hana maneno mengi alafu kuongea ni mpaka atafakari kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe.The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali
10. Egypt
Acha kuwadhalilisha Ruto na Museveni kwa kuwalinganisha na mama Hamonaizi.Madhara ya kushiba maharage mabovu.
Senegal raisi hana hata miezi mitatu.
Uganda Museveni ana miaka 40 madarakani na nchi bado underdeveloped,
Kenya hata nisiseme.
Mods wangefuta tu huu uzi, unapunguza hadhi ya jamiiforum.
Strong leadership. Sio kila mwaka ripoti ya CAG inapita tu bila hatua kuvhukuliwa .Kweli Uganda Kuna leadership?
Weak leadership ya Mama Abdulwahid.Why Tanzania haipo?
ni nn hii umeandika we kibobori.I wish if JPM could be still alive so as Tz to take the first position.
Tofautisha ukweli na uchochezi.Huu ni uchochezi wa wazi
Yes. Ruto hata akiongea au kujibu maswali unajua kabisa kichwani kuna kitu. Tanzania watu ambao tuliweza kujivunia Nyerere na Mkapa, japo Mkapa alikuwa siyo mwanasiasa mwenye zile tiktak za kisiasa.Kenya?
Tatizo la Magufuli lilikuwa kwenye upeo wa kuchanganua mambo. Ila kwa u-seriousness ni kweli, alikuwa hana utani.I wish if JPM could be still alive so as Tz to take the first position.
NB;hawachekicheki hovyoThe following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
Hata wakiwezi top 20 mama hamoniza ha
Wasiwasi wa nini wakati Fomu ya Urais kashahakikishiwa na Katubu Mkuu anayechaguliwa na yeye mwenyewe kuwa wanaprint moja tu.Atakuwepo top 100
Source: Business insider Africa (April 2024)
1. Mauritius 38.0 154th 2. Seychelles 53.3 128th 3. Botswana 55.3 122nd 4. Cabo Verde 60.1 114th 5. Namibia 60.3 112th 6. Ghana 62.3 107th 7. Gabon 65.5 99th 8. Tunisia 66.4 96th 9. Morocco 68.2 90th 10. São Tomé and Príncipe
69.786th
🚮🚮🚮🚮🚮Their seriousness is based on how they are struggling to develop their citizens and their countries in terms of improving social services, infrastructure etc.
🗑️🗑️May God bless them all for their good job,
Amen.
OFkoz kama unalinganisha na Tz hii ya kitchen party.Kweli Uganda Kuna leadership?
Kagame yuko serious na kujenga nchi, unamtoaje, Kaguta nae yuko serious na mambo ya kujenga Uganda, ukiacha umri wake kusonga unaona kabisa kwamba kuna vitu ana- aim ambavyo viongozi wa taifa letu hata kuwaza huoni. Ukisikiliza hotuba yake moja unaona kabisa Mzee Network bado iko sawsawa.Toa Uganda na Rwanda weka South Africa na Zambia