Top 10 African countries with serious leadership

The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali
10. Egypt
Nakubaliana na wewe.
 
Madhara ya kushiba maharage mabovu.
Senegal raisi hana hata miezi mitatu.
Uganda Museveni ana miaka 40 madarakani na nchi bado underdeveloped,
Kenya hata nisiseme.
Mods wangefuta tu huu uzi, unapunguza hadhi ya jamiiforum.
Acha kuwadhalilisha Ruto na Museveni kwa kuwalinganisha na mama Hamonaizi.
 
Yes. Ruto hata akiongea au kujibu maswali unajua kabisa kichwani kuna kitu. Tanzania watu ambao tuliweza kujivunia Nyerere na Mkapa, japo Mkapa alikuwa siyo mwanasiasa mwenye zile tiktak za kisiasa.
 

hii inaeleweka sio hiyo alioleta mtoa mada
 
Toa Uganda na Rwanda weka South Africa na Zambia
Kagame yuko serious na kujenga nchi, unamtoaje, Kaguta nae yuko serious na mambo ya kujenga Uganda, ukiacha umri wake kusonga unaona kabisa kwamba kuna vitu ana- aim ambavyo viongozi wa taifa letu hata kuwaza huoni. Ukisikiliza hotuba yake moja unaona kabisa Mzee Network bado iko sawsawa.
 
Eti serious leadership yaani mtu unajitungia tuu utumbo unapost nawatu wanajadili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…