Top 10 African countries with serious leadership

The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali
10. Egypt
Hizo ni top 10. Kwenye bottom 5 Tanzania haiwezi kukosekana 😆😆
 
Eti serious leadership yaani mtu unajitungia tuu utumbo unapost nawatu wanajadili...
Naomba kukiri kwamba hii ni maoni yangu kulingana na utafiti ambao nimekuwa naufanya kupitia vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania, Makala mbalimbali pamoja na maoni ya wananchi wa nchi husika zilizoorodheshwa.
Utafiti hupingwa na utafiti, naomba na wewe ufanye wa kwako, halafu uje nao hapa
 
Unaelimu gani kwanza tuanzie hapo!!
 
vipi Ethiopia
 
Nimezawaliwa nemekuta ni Rais mpk sahivi nazeeka bado tu anajipya lipi?
 
The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali
10. Egypt
Hii list ni batili. Sijaona Tanzania hapo
 
The following is the list of top 10 African Countries with serious leaders;
1. Burkina Fasso
2. Kenya
3. Rwanda
4. Cote d' Voire aka Ivory Coast
5. Uganda
6. Senegal
7. Guinea
8. Niger
9. Mali
10. Egypt

Nchi za Kiarabu zotezinapaswa kuingia

I wonder kama umeshawahi kufika Moroco, Algeria , Tunis

Mali Niger Uganda Kenya Burkinafaso, Guinea I doubt your research

Source?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…