bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Mkuu unatakiwa utueleze ni kitu gani unahisi Gaucho alikuwa anakikosa ktk uchezaji wake,Hahahaha eti viclip mkuu kuwa mkweli bhana ni kwakuwa tu kila zama zina mambo yake ila kiukweli huyu mtu nilikuwa sipendikukutana naye ktk mechi yoyote hasa nikilikumbuka lile goli lake la kukata kiuno.mpira sio shoo game nyie... nyie ndo mnashangilia vyenga...kisa unaangalia viclip vyake u tube unaanza kujaji...fuatilia kwanza ndugu usikurupuke..
Sawa mabao mazuri anafunga na vyenga anapiga ila statistics zake anafaa kuwa hapo??...kwa taarifa yako tu kistatistics,Gaucho keshaachwa mbali sana na Neymar..Mkuu unatakiwa utueleze ni kitu gani unahisi Gaucho alikuwa anakikosa ktk uchezaji wake,Hahahaha eti viclip mkuu kuwa mkweli bhana ni kwakuwa tu kila zama zina mambo yake ila kiukweli huyu mtu nilikuwa sipendikukutana naye ktk mechi yoyote hasa nikilikumbuka lile goli lake la kukata kiuno.
Sasa unataka waangalie nn???...ubishoo ama??Kwa statistic hadi drogba na Etoo utawaona wamemzidi Gaucho.
Kulinganisha ubora wa uchezaji kwa kupitia statistic ni ujunga
Sasa unataka waangalie nn???...ubishoo ama??
OKTufunge mjadala inaonekanwa nadili na Betting Boy, au CR fanboy