bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Mkuu unatakiwa utueleze ni kitu gani unahisi Gaucho alikuwa anakikosa ktk uchezaji wake,Hahahaha eti viclip mkuu kuwa mkweli bhana ni kwakuwa tu kila zama zina mambo yake ila kiukweli huyu mtu nilikuwa sipendikukutana naye ktk mechi yoyote hasa nikilikumbuka lile goli lake la kukata kiuno.mpira sio shoo game nyie... nyie ndo mnashangilia vyenga...kisa unaangalia viclip vyake u tube unaanza kujaji...fuatilia kwanza ndugu usikurupuke..