Top 10 football players of all time

Top 10 football players of all time

mpira sio shoo game nyie... nyie ndo mnashangilia vyenga...kisa unaangalia viclip vyake u tube unaanza kujaji...fuatilia kwanza ndugu usikurupuke..
Mkuu unatakiwa utueleze ni kitu gani unahisi Gaucho alikuwa anakikosa ktk uchezaji wake,Hahahaha eti viclip mkuu kuwa mkweli bhana ni kwakuwa tu kila zama zina mambo yake ila kiukweli huyu mtu nilikuwa sipendikukutana naye ktk mechi yoyote hasa nikilikumbuka lile goli lake la kukata kiuno.
 
Sawa mabao mazuri anafunga na vyenga anapiga ila statistics zake anafaa kuwa hapo??...kwa taarifa yako tu kistatistics,Gaucho keshaachwa mbali sana na Neymar..
 
Back
Top Bottom