Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)​

chibe chibindu mchezaji wa zamani wa yanga
 
Magobeko magina mlimani primary school 2001
 
bakari ugomvimwiko, noah kilimanjaro ,koba kalumbeta ,nseka bugoya ,martin luharara wachezaji wa mpira wa zamani
 
UKIWAONA DITOPILE MZUZURI muuaji wa dereva wa daladala kwa kutokukusudia
 
Ntamasambiro Bwanduruko - Height 232cm, Shoesize 47; Milambo High School Tabora, mwaka 1991.
 
Vicent Mgunda Mwanampondasoni Nzogonaminzee! Mwalimu mirambo sec aliyeacha kazi ya ualimu na kwenda kuwa mkulima wa magimbi kijijin kwao.
 
bilonkwanamagala - kilimo/Mifugo Kasulu Kigoma
 
Nyanzobe Kanzaga-Makongo High School 99-2001
 
Mbavai Meleji, Patel Longidare, Matiko Msenye, Babu Vayan Kimandolu Upper Primary 198.
 
mpunyangi nzengetile, mwanafunzi shule ya mkanyageni zanzibar
 
Shagihilu lufolondama nteminyanda-kidato cha Sita milambo high school-2000
 
Back
Top Bottom