Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Msukulinyungu mkatatifikolo.
Nailechilechi samweli ole seiguram.
Ramadhani mwinshehe ukiwaona ditopile wamzuzuri.
 
Msukulinyungu mkatatifikolo.
Nailechilechi samweli ole seiguram.
Ramadhani mwinshehe ukiwaona ditopile wamzuzuri.

Barafutukuza Teyumwete- Kidato cha nne Kigoma Secondary (1989)
 
Ehee... weee!!!! Hilo linasound kama........heri miye cjasema
 
Fikiri Magoso- former player SSC.
Asajile Mwakalindile- Mnyakyusa wa Kigoma.
Tabu Mwakatika- Former football player Pilsner ya DSM.
 
WUSIKUNWE KUMARAKO mhitimu wa kidato caha nne Msitetwe Sec. Mwaka 1998
 
Lairumbe Likindanyu - Lyamungo 1999
Sekemi Sakana - Lyamungo 2001
 
Huyu jamaa nampata, ni Pastor huko moshi
 
Sijali Chambasi....Ngerengere jwtz sekondari 1995-98 mara ya mwisho tuliachana mwembesongo morogoro 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…