Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Mi nawafahamu hawa
;-
Sikitiko mkonomtupu
Kufa kulala na
Tabia banga
 

Sembe Sahani - Mfanyakazi wa
Tanesco Mjini Iringa
 
GABARUDA GIDAWEDA GIDAWADINI...Karatu sec. form six 2008
 
Kongororo Mbogoro Masanukwa Gwanji

"Mcheza pool maarufu miti mirefu Mwanza"
 
Mtutura Abdallah Mtutura,
Ng'wizukulu Jilala,
Arcado Ntagazwa
Salim Mbonde
Christant Majiyatanga Mzindakaya
Talala Mbise
 
Mkegani Mkeenge- Makumira Sec 1983/84
Mwl. Nachupiangu... Primary school AR.
Nyaronyo Kicheere... Lawyer/Journalist
 
Nyamaume Simba...RTD
Shikauchi Kumamoto...Alikuwa Balozi wa Japan TZ nimesahau mwaka
Misanya Bingi...Radio One 90's
 
Mshindo msorwa, kalikuntima,msafir mkeyenge,jimba ngozi
 

Dah! Ulisha kaa mitaa ya Oysterbay nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…