Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahahah du???? Mkajeuri Tumbotele - weruweru (hili jina nilivyolisikia mara ya kwanza assembly nikajua utani..... nilishangaa baada ya kujua ni jina haswa nikabaki kujiuliza wazazi wa huyu bidada walikuwa na maana gani!!!!!
hahaha. Kweli linachekesha wazazi kumwita binti yao mwanamke jeuri!
Dah! Ulisha kaa mitaa ya Oysterbay nini???