Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Duh... Kuna wabongo
wanamajina ya ajabu sana....
Ongezea yako ukiona vipo
1. Ndugu TAMPERA
NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa
kidato cha sita shule ya
sekondari ya wavulana Tabora
mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA
MISALABA-Mhitimu wa kidato
cha sita shule ya sekondari
Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO
KICHECHE-Mwanafunzi wa
kidato cha kwanza shule ya
sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU
POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-
Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO
MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpi
shi mkuu wa kikosi cha 34 cha
Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA
PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza
miwa na maji baridi maarufu
pale magomeni makutano ya
barabara za Rashid Kawawa na
Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI
MWAIKUNGILE-Jaji wa
mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE
MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi
Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA
a.k.a KIMBA-Fundi majiko
maarufu Railway Gerezani Dar
es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA
TYETYETYE-Mhitimu wa chuo
kikuu cha Dar es Salaam,
mwaka 2001 fani ya sayansi ya
jamii (BA)
 
Duh... Kuna wabongo
wanamajina ya ajabu sana....
Ongezea yako ukiona vipo
1. Ndugu TAMPERA
NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa
kidato cha sita shule ya
sekondari ya wavulana Tabora
mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA
MISALABA-Mhitimu wa kidato
cha sita shule ya sekondari
Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO
KICHECHE-Mwanafunzi wa
kidato cha kwanza shule ya
sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU
POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-
Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO
MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpi
shi mkuu wa kikosi cha 34 cha
Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA
PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza
miwa na maji baridi maarufu
pale magomeni makutano ya
barabara za Rashid Kawawa na
Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI
MWAIKUNGILE-Jaji wa
mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE
MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi
Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA
a.k.a KIMBA-Fundi majiko
maarufu Railway Gerezani Dar
es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA
TYETYETYE-Mhitimu wa chuo
kikuu cha Dar es Salaam,
mwaka 2001 fani ya sayansi ya
jamii (BA)

Bwana mende wa jf,,hahah :lol:
 
Last edited by a moderator:
duh... Kuna wabongo
wanamajina ya ajabu sana....
Ongezea yako ukiona vipo
1. Ndugu tampera
ngunamabwoko-mhitimu wa
kidato cha sita shule ya
sekondari ya wavulana tabora
mwaka 1992.
2. Ndugu gogomoka
misalaba-mhitimu wa kidato
cha sita shule ya sekondari
minaki mwaka 1998.
3. Ndugu abdallah nyundo
kicheche-mwanafunzi wa
kidato cha kwanza shule ya
sekondari minaki mwaka 2002.
4. Ndugu masaninga sumaku
pombojolowe a.k.a pumbu-
dereva wa mabasi ya hood.
5. Koplo rubyeneko
muganyizi byombarirwa-mpi
shi mkuu wa kikosi cha 34 cha
jeshi (34 kj), mbeya.
6. Ndugu takotako wa
pumbuje a.k.a akanana-muuza
miwa na maji baridi maarufu
pale magomeni makutano ya
barabara za rashid kawawa na
morogoro.
7. Mheshimiwa njengafibili
mwaikungile-jaji wa
mahakama kuu ya tanzania.
8. Mheshimiwa john pombe
magufuli-waziri wa ujenzi
tanzania.
9.ndugu tuntufye mwaikimba
a.k.a kimba-fundi majiko
maarufu railway gerezani dar
es salaam.
10. Ndugu benadetta
tyetyetye-mhitimu wa chuo
kikuu cha dar es salaam,
mwaka 2001 fani ya sayansi ya
jamii (ba)

mwasakajoka tyutyufye....2..mwaipumbuja mwaitakotako
 
isije ikawa mengine mnatunga kama mwaitakotako na mwakijambile!
 
isije ikawa mengine mnatunga kama mwaitakotako na mwakijambile!

mwaitakotako mwaipumbuja mhitimu udom 2011...MWAKIJAMBILE mshiriki na mshindi wa 2 EBSS 2013....nani anatunga kama hujui kitu nyamaza
 
Kingunge Ngombaromwilu.Muwakilishi wa waganga wa jadi bunge la katiba 2014
 
Back
Top Bottom