Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Shimba Ndulu, Masolwa Manyilizu na Itangwa Ndutu wahitimu wa kidato cha nne Tabora Boys mwaka 1995.
 
Ndugu Nkwechegwang'wamungu mzee mmoja anapatikana pande za kolomije
 
Chenua Achebe - Author

Ukiwaona Ditopile - O'level

Majiyababa Fungameza - kocha mtaani
 
rafiki yangu yupo buguruni pale anaitwa mbwa baba ake paka babu yake fisi kwahyo mbwa paka fisi 2lijua utan lakn kweli hyo mngoni huyo jamaa
 
Kesi hukumu sheria JWTZ PEMBA
 
BASILI PESAMBILI MRAMBA wa rombo kilimanjaro
JUMVILE KAMPAKASA mwanafunzi wangu
NYAMHANGA NTORE NYABONGE mwanafunzi wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…