Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

mbona minaki in majina ya ajabu? umesoma huku au kwa vile iko porini nini?
Shule poa sana ile.
Chanzo cha msjina mabaya ni hiki;
1. Wanafunzi wengi walitoka USUKUMANI vijini
2. Wahamiaji wale Watukutu wa Tambaza nao walikuwa na majina mabovu balas hasa ya utani...enxi walipochoma shule moto.
 
Nilisoma na GOGOMOKA MISALABA Minaki Sec School 1995 - 1997 yeye akiwa nyuma yangu mwaka mmoja...Nimefurahi kulisikia tena jina lake leo. Sijui yupo wapi sasa!
Ulimaliza na DICKSON MTALITINYA sio?
 
George John Bushububili Magesa- lombeta Secondary school 1993
Arbogast Faida - Lombeta 1994
Aftuangira Palangnyo - Lombeta 1994
Kandaipas Kunung'gunika - Chongwe Boys (Deputy headboy) 1997
Ikumburuswa Nnko, Enaboishu sec..1998
 
Back
Top Bottom