Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

ng'onela lugata-sengerema sec school(mwanza) 1994-1997
manyenye maganiko-sengerema sec school 1994-1997
lihwa masulubu-sengerema sec school same years
gwakisa kajange-sengerema sec school same years
EBHANA EE
 
Pia nikiwa katika masomo ya juu nimesoma na jamaa mmoja anayekwenda kwa jina la Mfwalamagoha, ni wa Iringa lakini nadhani alienda kufanya kazi mkoani Mbeya.

Ila Kiboko ya yote ni majina ya mkoani Tanga (majina ya vitu). Hebu angalia hapa chini.

Joel Bendera
Januari Makamba
Hemedi Sabuni
Ikram Siafu
Bakari Mshahara
Ibrahimu Msikiti (wao wanaita Msigiti)
Jumanne Mswaki
Sheshe Msumari ( wao wainaita Msumai)
Athumani Kibiriti (wanaita Kibiiti)
Abdul Nondo Nae Aingie Kwenye hii List Hapo
 
Huyu jamaa Josephat Mkundukuwaka alikuwa anampa Headmaster wakati mgumu sana inapofikia kutamka jina lake hadharani. Lakini ilibidi Headmaster lazima alitamke manaake Josephat alikuwa mchoraji mzuri aliyekuwa anashinda kila term. Sijui aliishia wapi. Nimem-google lakini jina lake halitokei. Labda alibadilisha jina la ukoo manaake lilikuwa linatisha!
Shida ni Kwamba Ukibadili Jina Familia inachukulia kama Unaleta Uzungu mwingi Unakataa Jina la Ukoo Hali ya Kuwa Wazee Wako Wamelitumia hilo hilo, Unaleta Picha Mbaya
 
<br />
<br />
Du!!! Hilo jina hata sijui naanzaje kuliita.....lol
Na kuna,
Panawasha nkikuna,
kyima kyambwele,
kitema mwasakafyuka,
ndimyake mwakalyelye,
kokushobokera mutalemwa mushumbuzi,
nsyagenie nsyankisu,
mwakifulefule mwakifwamba,
nkundu nshungama.
Mwakikokolwa mwasandembwe,
mapunda manyanimwitu,
...................naishia hapa vidole vinauma ....lol.
Mapunda ManyaniMwitu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom