Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Haswaaa!Jidulamabambasi Jidu La Mabambasi sio ndugu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa!Jidulamabambasi Jidu La Mabambasi sio ndugu yako?
Gogomoka alipata Division Zero pale Minaki Secondary2. Gogomoka Msalaba ni classmate wa Waziri Jeff.
Ninamfahamu, alikuwa jamaa flani tafu bila shaka alikuwa Msukuma
Siwezi kushangaa, alikuwa jamaa wa miguvu zaidiGogomoka alipata Division Zero pale Minaki Secondary
Jina lako maana yake nini mkuuHaswaaa!
Ukiniuliza hata mimi sijui, ngoja nirudi Gamboshi nimuulize mzee wa busara.Jina lako maana yake nini mkuu
Mwalimu Libaba PM , alipenda kutoa mfano wa zero iliyoandaliwaSiwezi kushangaa, alikuwa jamaa wa miguvu zaidi
Hivi Libaba bado yupo hai?Mwalimu Libaba PM , alipenda kutoa mfano wa zero iliyoandaliwa
Sawa mkuuUkiniuliza hata mimi sijui, ngoja nirudi Gamboshi nimuulize mzee wa busara.
P. M Libaba aliishafariki miaka 4 au 5 iliyopita .Hivi Libaba bado yupo hai?
Mzee mkulima wa pasheni na mboga mboga
Tatizo Kashiliumu,Masalu Malunguja....Nzobendo Lucas ...Nsumba Mwanza 1993-1996Marceale Mafinyundocha Mtefunya Uru Seminary 1996-1997
Mbunge wa Chilonwaa,shabiki wa makolo Mh.Kuwayawaya Steven Kuwayawaya
- Kambarage Nyerere
- Mabere Marando
- Fundikira
- Fumbuka Ng'wanakilala
- Kijakazi Kyelula
- KIjakazi Mchujuko
- Makanyila Mwisongo
- Anyekwa Chilipweli
- Tusekile Kibonde
- Salanga Chilipweli
- Mboni Masimba
- Lusajo Kibonde
- Shani Mnyani
- Sima Mwombela
- Nkundwe Mwakasendo
- Chanja Mwombela
- Mosi Kipokola
- Chambi Msiagi
- KIsa Kilindu
- Mrambo Derua
- Nzota Kilonzo
- Kanyeka Ntuyabaliwe
- Tibu Mwandoro
- Andembwise Mwakanyamala
- kalimba Swere
- Kumi Mkono
- Ndabu Swere
- Mhoja madata
- Mbilizi Madata
- Nampombe Kibacha
- Nsane Ligati
- Buberwa Mutasa
Usungu Mbelle
Bwigane Magomela
Bwigane Mbangula
Mateo Mundeba (R.I.P)
Kumalilwa s
Shaka Kirigini
Mandela Wakati
Ngade Chabanga Dyamwalle
Mwamshindo Rajab
Bimkubwa Rajab
Kazikupenda Chale
Kadogo Ngula
Masha Makata
Mao Makata
Yisambi Mboma
Narego Mbago
Sigo Mwapachu
Chimpaya Ntagazwa
Mpeli Nsekela
Magambo Lakilang'anyi
Wanseho Tulibao Mkisi
Nesha Derua
Kwizela Ntagazwa
Nzagi Lakilang'anyi
Mahiga Mapigano
Mageta Opanga
Maganga Liwali
Gagi Limihagati
Kapona Gombanila
Mwanawetu Mbonde
Pelelwa Shauri
Irema Linjewile
Mire Nyakilang'anyi
Mwiga Kapya
Akinyi Opanga
Maua Daftari
Sawaya Kilonzo
Ngundilile Mwambenja
Kizito Kihiwili
Nyamwende Nyamka
Tabasamu Ngongoseke
Kibudia Mwaimu
Faraja Kota
Zamani nilikua naona majina ya ajabu siku hizi naona ni majina ya kujivunia, yani ile feeling unakwenda nje ya nchi halafu watu wana shindwa tamka jina lako kwangu naona ufahari sana.