Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Jalituneno Tabanesami na
Mombitanta Sisanatiku, atakaeweza kujua jina hili nibla nan nitampa zawad, serious..

Ila we jamaa hebu jitahidi kuandika vizuri.usiseme nakuonea,hebu rudia kusoma ulichoandika
 
andindimile andimile-jamhuri secondary 2007
Daudi Hakimu Mbogo-jamhuri secondary 2008
Daniel siogopi Zambi-jamhuri secondary 2008
Nyembo Panzi-mchikichini primary 2004

Shirimiaufoo murro-Mazengo 2000
 
1. Tigwela muchwampaka
2.mhaji bupa ndamo mboloolo
 
Bukwabi hujamalizia huyo jamaa alikuwa anaitwa Amani Nzugile Jidula Mabambasi. No marehemu kwa sasa, aliwahi kugombea ubunge kupitia tiketi ya CUF jimbo la Maswa
 
Maingwa Diamwale Kidyamakuo -Makongo secondary 2009

Loitingidati Longidu Makongo sec 2009
 
Back
Top Bottom