Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Mr.Bwenge (former jitegemee sec school discipline master)
 
Dyanka Bilagambalaye, hili jina nilikutana nalo nikiwa kazini mahali fulani. Baadaye nikagundua ni home boy wangu.


Vv
 
MZEE NANKOKONUMBI.

Huyu jamaa alimaliza Mzumbe secondary miaka kadhaa iliyopita.
 
Kuna hili sijui kama limetajwa ila nimelikumbuka na wewe lazima ulikumbuke ila silijui kama ndivyo naruhusu kusahihishwah !

Ukimuona Mzuzuri sijui nani ? Utalikumbuka tu maarufu sana hata likitajwa basi lazima ulishangae kama si kulishangiliaya.
 
Ndugu kaburi liwazi mhitimu wa darasa la saba shule ya msingi gezaulole mwaka 1989
 
Makima makima graduate MBA udom 2014 cheki kitabu utakuta
 
Back
Top Bottom