Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Rutahindurwa M. Rutazengerela Kyabushaija - JKT Oljoro 1991
 
Ulimboka mwakiwe - morogoro
John Shiduda - Maswa
Maokola Majogo huyi mzee sijui yupo?
 
Kaizirege Ishengoma Mugumira Byayombo Meneja PEHCOL 2000-2003
 
Chitomba Masebu ....Mazengo Tech mwaka sikumbuki
Majamunda Adimikaji Mwanakiji huko maswa
Itombela Mbele Katibu kata huko maswa
Madakosita Mungu aka nitatulie msela huko kwetu
 
Nyamajeje Wa Buchanagandi former CEO Tanzania Institute of Accountancy,
Roman Masenge.... Kawawa Primary school 1996
Pasua Mpapai Tanga Tech Secondary school 2004.
 
  1. Lance Corporal Saidi Matete NKUNDUKUWAKA....JKT circa 1990
  2. Twisa Tuntufye Mwango-MARLEY (Mwangomale???) Kigurunyembe Sec 1977-1981
 
Nape Nnauye
Pandu Ameir Kificho - Spika BLW ZNZ
Kamal Basha Pandu _ Naibu Spika BLW ZNZ
Ame Mati Wadi - Mwakilishi jimbo la matemwe znz
Achilana Mtingele - Dodoma Sec 1997 - 2000
Deusdedit Kabundugulu - Dodoma Sec 1996 - 1999
Robert Dikoko Dodoma Sec 1995 - 1997

Da mwanangu huyu dikoko nimesoma naye mazengo sec.akahama form one,yupo wapi siku hizi?
 
Wenseslausi Fungamtama - Mkwawa High school -1998
Pakunyea - wakala wa magari pale ubungo terminal
 
Kumalija Ngobokha - Lyamungo Sec 1993-1997
 
Saed Kubenea
Luiza Mbutu
Ndimara Tegambwage
Dome Budohi - Mwasisi wa TAA
Mwinjuma Mwinyikambi - Mwasisi wa TAA
Jumbe Tambaza - Mwasisi wa TAA
Mshume Kiyate
- Mwasisi wa TAA
Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu - Mwasisi wa TAA na ANC chama cha upinzani cha kwanza Tanganyika.
 
Da mwanangu huyu dikoko nimesoma naye mazengo sec.akahama form one,yupo wapi siku hizi?

Dikoko alikuwa nakaa kota za magereza kule isanga sijaonana nae tangu amemaliza Dom Sec 1997 sijui yupo wapi mgoogle.
 
Sikudhan Papa Mkali- anasomea masters ya uchumi pale IFM
 
Back
Top Bottom