Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu jamani mbavu zangu.........,hili jina hapo juu kweli lipo.......!!
Haya majina mengine bana..Kuna jamaa nchi jirani anaitwa Wani Tombe! no joke.
Washikaji hawakuniamini nikamuombe kumkopi kwemye email ( cc: ) maana hiyo ndivyo jina lake livyotoke kwenye email yake ya
kazini.
Mpumbiyee
umeshtuka hilo.na kuna mmoja aliiwa Liku Malangu..ukiita kwa kuunganisha tu,umetukana.unaita kwa pozi.
ha ha ha,majina mengine bhanaaaa.....Grace Mboro weruweru 1996