Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

masalakulangwa shing'weng'we
head master kanda ya ziwa victoria
 
slyvester ntibantunganya ntibagwae bizimungu,.mfayukulela nzingirakabo nkaza nziyenga
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
 
MWENGE MADIRISHA.
Mlinzi wa kisukuma hapa mtaani kwetu.
 
AKAJA AKATOMBA mwenyeji wa nanyuki rungwe mbeya

Nanyuki hakuna wakazi kule, ni mashamba ya viazi, miwa,mahindi, na maswisa, nilikuwa naenda kula maswisa kule enzi zangu nasoma kule
 
1.mr john- ng'uhungumalwa-mlizi minala ya zantel shinyanga
 
Back
Top Bottom