Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

January mawazombele mbonane-whitelake high school 2004-2007
 
Nilisoma na Gogomoka Misalaba 1991-1994 Dodoma Sekondari. Sitasahau siku mwl wetu wa darasa wa form IIF alipokuwa anaita majina darasani alisema kila anaposoma majina darasani akifika jina hilo tu huwa anajiona yuko makaburini na huwa anaona misalaba mingi sana. Kilichofuata ni kicheko kupita kiasi. He was a polite guy indeed! Kwa taarifa nilizonazo yuko Geita au Sengerema.
 
Yungi mwana Nsarre - taifa stars former striker 1960s

Sent via EyePhone
 
Mark Karunguyeye-Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Ilala (zamani)
 
mkuu ni sahihi gogomoka misalaba alinipokea form one 1992 dom sec hostel, alikuwa anajipenda sana mzee wa viwalo alipenda sana disko kucheza ma breka dansi kwao ni bariadi simiyu
Nilisoma na
Gogomoka Misalaba 1991-1994 Dodoma Sekondari. Sitasahau siku mwl wetu wa
darasa wa form IIF alipokuwa anaita majina darasani alisema kila
anaposoma majina darasani akifika jina hilo tu huwa anajiona yuko
makaburini na huwa anaona misalaba mingi sana. Kilichofuata ni kicheko
kupita kiasi. He was a polite guy indeed! Kwa taarifa nilizonazo yuko
Geita au Sengerema.
 
majina mengine dodoma sekondari enzi hizo ni JABA JILYABILU, MIYUGUYU JOTO, JOMBO NGH'ONONO,
 
teeh teh..wadau naona haya majina yanapotea..naombeni mnitafutie moja la kumpa mwanangu mtarajiwa
 
Kasusu Nyemliekung'e same school 97

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mnenge Suruja TPL 2000's

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pia kuna jamaa anaitwa AMANI NZUGILE JIDULAMAMBASI mwanasia mahiri na Rais mtarajiwa wa Tanzania
 
Nimestuka sana! Moja ya majina hapo juu linanihusu moja kwa moja!
 
Back
Top Bottom