Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Nilikuwa matembezi, ndo nimerudi jioni hii ila haikunisumbua hata kidogo.Unatumia app au web....
Tangu asubuhi app haipatikani nahisi mambo ya Fisiemu kuhusu "uchafuz"i wa Zenji ...web ngumu kutumia