TOP 10 makapuku tishio JF

TOP 10 makapuku tishio JF

Kitu tyr...nimeclear data
Leteni mastory
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]


Msimu mpya wa miss tanzania umeanza inakuaje pande za kitaani kwetu huku[/QUOTE]



Itakua fresh tu...kumbuka ht Wema katokea Mabibo enzi za utoto wake
 
Msimu mpya wa miss tanzania umeanza inakuaje pande za kitaani kwetu huku



Itakua fresh tu...kumbuka ht Wema katokea Mabibo enzi za utoto wake[/QUOTE]


kweli tuplan event basi apatikane miss mabaiboo
 
kweli tuplan event basi apatikane miss mabaiboo[/QUOTE]


Tutakushtua.....
 
Nawatakia jumapili yenye baraka
Sio kila siku kuja na list ya wakongwe wkt kuna list nyingi tu....wafuatao ni list ya members wanaokimbiza kimya kimya na wanaokuja kwa kasi hapa JF yaani makapuku/underground/wasio maarufu JF wenye:
Most posts
Most likes
Most points

1/Phillipo Bukilo

2/MKWEPA KODI

3/Einstein newton

4/.............

5/YEHODAYA

6/Jimena

7/Pohamba

8/Barbarosa

9/Th Name

10/Mwanahabari Huru
******************

11/ribii
12/Bansen burner
13/chosen generation


SOURCE;
/>Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
hongereni !!!!!!

****LIST INACHANGE ANYTIME KWAHIYO LINK INABADILISHA LIST...****






Jokes ;
Phillipo Bukilo[emoji117] verified user wa kitaa?
MKWEPA KODI[emoji117] Ukishikwa na Anko Magu sitakutetea !
Th Name [emoji117] ur name is?
Barbarosa[emoji117] Ni kisiwa gani hiki?
Einstein newton[emoji117] hujavumbua ht kishada
Bansen burner[emoji117] halafu Kemia una F
Mwanahabari Huru[emoji117] mbona hutoi habari za makapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

JF Makapuku Founder
The Bitoz
umesahami mimi mbuzi na kuku
 
Back
Top Bottom