TOP 10 makapuku tishio JF

Hahahaaaa 'Legend in the making' makapukuzz ila speed ya hatarii..sema nn we bishoo toa F hapo kwenye Chemistry weka A+
 
Makapuku[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] bora sipo kabisa
 
Hahahaaaa 'Legend in the making' makapukuzz ila speed ya hatarii..sema nn we bishoo toa F hapo kwenye Chemistry weka A+
Mkuu usikatae matokeo yako.... F nayo ina raha yake (alisema ni jokes )
 
JimMimi Kaclick post: 15559591 said:
Sijaridhishwa kabisa na ukokotoaji wa Bitoz lakini acha nikomae tu next time itakuwa zaidi ya 4
Sijakokota mimi
Kaclick link/source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…