SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
No.1
EGYPT with 310,000 active personnel and 375,000 reserve personnel.
EGYPT with 310,000 active personnel and 375,000 reserve personnel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam. Hawa wanapewa support na Turkey.Algeria Ni zaidi ya south Africa?
Strategies za kijeshi zimebadilika sana haswa kulipoingia A.I yaani Artificial Intelligence. Naam, idadi ya personnel sio kigezo kikubwa siku hizi. Hii orodha imejumulisha zana za kivita na human resource too.Kabla hujamaliza, taarifa umezitoa Global Firepower au zile defense blogs za Africa. GF mwaka huu wametoa rank ya ajabu kwenye naval powers. Na jeshi halipimwi kwa idadi ya watu pekee, I hope unafupisha na hiyo ranking unayotumia imezingatia hivyo vingine
OkayNaam. Hawa wanapewa support na Turkey.
Na kama wewe sio mgeni wa hizi habari basi utakuwa unafahamu Turkey ni wakali wa maneno haya.
Inaizidi bila ubishi. South Africa is a decaying military, lilikuwa ni jeshi la makaburu kupambana na Angola na jamaa wa Namibia na kujipangia dhidi ya nchi za Afrika na dhidi ya Zimbabwe ambayo ilikuwa powerful enzi zake. Baada ya makaburu kuachia nchi vipaumbele vikahamia kwingine.Algeria Ni zaidi ya south Africa?
Okay🧢🙏🏿Inaizidi bila ubishi. South Africa is a decaying military, lilikuwa ni jeshi la makaburu kupambana na Angola na jamaa wa Namibia na kujipangia dhidi ya nchi za Afrika na dhidi ya Zimbabwe ambayo ilikuwa powerful enzi zake. Baada ya makaburu kuachia nchi vipaumbele vikahamia kwingine.
Wakati huo Algeria ina mgogoro na Morroco ambayo siwezi panga rank ikakosa top 5. Algeria bado inakaa chonjo na Ufaransa na ina Uarabu kiasi.
Vyema sana ulipotaja Ufaransa.Inaizidi bila ubishi. South Africa is a decaying military, lilikuwa ni jeshi la makaburu kupambana na Angola na jamaa wa Namibia na kujipangia dhidi ya nchi za Afrika na dhidi ya Zimbabwe ambayo ilikuwa powerful enzi zake. Baada ya makaburu kuachia nchi vipaumbele vikahamia kwingine.
Wakati huo Algeria ina mgogoro na Morroco ambayo siwezi panga rank ikakosa top 5. Algeria bado inakaa chonjo na Ufaransa na ina Uarabu kiasi.
Artificial intelligence haijaanza kutumika muda mrefu jeshini hasa Afrika hii. Hayo majeshi probably yana matumizi madogo ya AI na robotics kuweza kufidia idadi ya wanajeshi. Ila bado wanakujakuja mfano Algeria wanapenda sana dronesStrategies za kijeshi zimebadilika sana haswa kulipoingia A.I yaani Artificial Intelligence. Naam, idadi ya personnel sio kigezo kikubwa siku hizi. Hii orodha imejumulisha zana za kivita na human resource too.
Hii Congo hii hii ambayo kivu na goma zinawaendesha??No. 8 Democratic Republic of CongoView attachment 2554295
Apa Kwa Nigeria umetupiga kamba,No. 4 NIGERIA
160,000 personnelView attachment 2554271