Top 10 Strongest Armies In Africa Thread

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
No.1

EGYPT with 310,000 active personnel and 375,000 reserve personnel.
20230316_221502.jpg
 
No. 2 ALGERIA
Active personnel 130,000 Reserve personnel 150,000
20230316_221843.jpg
 
Kabla hujamaliza, taarifa umezitoa Global Firepower au zile defense blogs za Africa. GF mwaka huu wametoa rank ya ajabu kwenye naval powers. Na jeshi halipimwi kwa idadi ya watu pekee, I hope unafupisha na hiyo ranking unayotumia imezingatia hivyo vingine
 
Strategies za kijeshi zimebadilika sana haswa kulipoingia A.I yaani Artificial Intelligence. Naam, idadi ya personnel sio kigezo kikubwa siku hizi. Hii orodha imejumulisha zana za kivita na human resource too.
 
Algeria Ni zaidi ya south Africa?
Inaizidi bila ubishi. South Africa is a decaying military, lilikuwa ni jeshi la makaburu kupambana na Angola na jamaa wa Namibia na kujipangia dhidi ya nchi za Afrika na dhidi ya Zimbabwe ambayo ilikuwa powerful enzi zake. Baada ya makaburu kuachia nchi vipaumbele vikahamia kwingine.
Wakati huo Algeria ina mgogoro na Morroco ambayo siwezi panga rank ikakosa top 5. Algeria bado inakaa chonjo na Ufaransa na ina Uarabu kiasi.
 
Okay🧢🙏🏿
 
Vyema sana ulipotaja Ufaransa.
Haya unganisha support ya France na Turkey. Hawa wanafaidi sana. [emoji817][emoji1534]
 
No. 7 Ethiopia
160,000 active personnel
Wakali wao hawa. Cheza mbali. Inashangaza sana wamechukuwa nafasi ya saba.
Self made army.
20230316_223506.jpg
 
Strategies za kijeshi zimebadilika sana haswa kulipoingia A.I yaani Artificial Intelligence. Naam, idadi ya personnel sio kigezo kikubwa siku hizi. Hii orodha imejumulisha zana za kivita na human resource too.
Artificial intelligence haijaanza kutumika muda mrefu jeshini hasa Afrika hii. Hayo majeshi probably yana matumizi madogo ya AI na robotics kuweza kufidia idadi ya wanajeshi. Ila bado wanakujakuja mfano Algeria wanapenda sana drones
 
Back
Top Bottom