Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu.
Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni mawili kwenye top 10.
Kuanzia BYD, ambayo imeshika nafasi ya 6 na inazidi kupanda kwa kasi ya ajabu sana.
Na kampuni la pili ni Geely ambayo iko nafasi ya 9 imemtoa mchezoni Suzuki.
Wakongwe Toyota Honda Nissan nk mauzo yao yanashuka ukicompare na mwaka jana, muda kama huu.